Ni kosa gani kubwa ambalo mpenzi wako akifanya hutamsamehe....?

Uongo, tamaa,ushangingi,kulala nje ya mji (nyumbani) wake bila sababu ya msingi, uzinzi, urafiki wa kinafiki,kuacha kufuata kile nisichokitaka katika mwili wake mfano kuweka lipstick,kuona kama amekosea kuwa na wewe katika maisha yake,dharau,ujeuri na kukuona wewe kama kinyago yaani huwezi kuwa naye mbele za watu kila mara kukukandia mbele za watu na kutokuwa na subira katika shida
 
Kupotea kwa baadhi ya nguo hasa ndani bila 7bu maalum kumfuma anakuwekea viungo vya ziada kwenye chakula wkt sio viungo halali nk...
Hahahahaaa du hii kali haya bana
 
Uongo, tamaa,ushangingi,kulala nje ya mji (nyumbani) wake bila sababu ya msingi, uzinzi, urafiki wa kinafiki,kuacha kufuata kile nisichokitaka katika mwili wake mfano kuweka lipstick,kuona kama amekosea kuwa na wewe katika maisha yake,dharau,ujeuri na kukuona wewe kama kinyago yaani huwezi kuwa naye mbele za watu kila mara kukukandia mbele za watu na kutokuwa na subira katika shida
Hayo maneno yoooote yamebebwa na sentesi hiyo yenye rangi nyekundu hapo na huenda hii ikawa sababu yangu ya kutomsamehe..........
 
Nimekuwa nasikiliza kesi nyingi za wapenzi na wale walioko kwenye ndoa ambazo baadhi yake zimekuwa zikipelekea mahusiano baina yao kuvunjika. Sasa nikawa najiuliza hapa....hivi ni kosa gani ambalo mkeo/mumeo/mpenzi wako akifanya hutamsamehe au litapelekea mahusiano yenu kuvunjika?

katika umri huu, at least approvide nyumbani in terms of groceries, bills na subsistence allowance, kila mmoja aone njia yake.
 
Una maana akikojoa nje ya nchi ?
Mf. Akikojoa Kenya au Rwanda, au niaje ?
Kama jibu ndiyo so mpenzi wako akiwa kenya ataishije awe anakuja mpaka Namanga anakojoa then anarudi Nairobi ?

Najua unajua alichokusudia kusema lakini unauliza kizushi ili aseme mambo flan. Nakushauri mtu wangu kula ganzi! Messege delivered!
 
For me uzinzi naweza samehe ila kwa masharti ya yeye kuomba msamaha na kujishusha ili tutafuta muafaka..... ila kama nikigundua kaanza tabia ya ushoga mama weeeeeeeeeee. Siangalii nyumba....
 
Una maana akikojoa nje ya nchi ?
Mf. Akikojoa Kenya au Rwanda, au niaje ?
Kama jibu ndiyo so mpenzi wako akiwa kenya ataishije awe anakuja mpaka Namanga anakojoa then anarudi Nairobi ?

'akikojolea' nje ya kitobo changu
 
katika umri huu, at least approvide nyumbani in terms of groceries, bills na subsistence allowance, kila mmoja aone njia yake.
Khaaa we mtoto we sa hapo nini maana ya kuwa pamoja si bora muachane tu!
 
Nikigundua ananicheat.yan ni hakuna maelezo,tunavunja mkataba hapo hapo.

fully agree...kuna watu yani wapenzi wao wanacheat mara ya kwanza ya pili ya tatu mpaka inakua ni tabia ya mtu na mwenzi wake bado yupo tu nae na anaendelea kumpenda...mi siwezi kumsamehe, hata tusipoachana lakini nitaendelea kua na mtu ambae simpendi kama zamani nina kinyongo nae yani hatutaishi kwa raha itakua bora tu kila mtu asepe kivyake:confused3:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom