Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,526
Khaaa we mtoto we sa hapo nini maana ya kuwa pamoja si bora muachane tu!
mapenzi zama hizi yatoke wapi? nipe nikupe kama huwezi niache nihangaike mwenyewe.
Khaaa we mtoto we sa hapo nini maana ya kuwa pamoja si bora muachane tu!
Akianza tabia ya kulala kama sungura yani analala usingizi nakukoroma afu macho hafumbi..
Angel Msoffe, hata bila kujua sababu ya kwanini amezini au kama ni kweli amezini?
Una maana akikojoa nje ya nchi ?
Mf. Akikojoa Kenya au Rwanda, au niaje ?
Kama jibu ndiyo so mpenzi wako akiwa kenya ataishije awe anakuja mpaka Namanga anakojoa then anarudi Nairobi ?