Ni kongamano kubwa kabisa hapa ARUSHA leo tar 27.

Kivia

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
278
32
Kongamano kubwa bado linaendelea hapa Ar mjini. Mada motomoto zipo hewani,katiba mpya, ikiwepo siri ya maandamano ya CDM. Nk. Pia linarushwa live kupitia radio IMAAN.
 
Kongamano kubwa bado linaendelea hapa Ar mjini. Mada motomoto zipo hewani, ikiwepo siri ya maandamano ya CDM. Nk

We nawe....

Kongamano la nini?

Linaendeshwa na nani na wahutubiaji ni wakina nani?

Lina malengo gani?

Linafanyika wapi?

Kama upo huko ni vizuri ukatupa updates
 
Viwanja ya bondeni sekondary. Masheikh woote maarufu wapo. Ni la kitaifa.
 
Viwanja ya bondeni sekondary. Masheikh woote maarufu wapo. Ni la kitaifa. Waandaaji ni jumuiya na taasisi za kiislam
 
Kongamano kubwa bado linaendelea hapa Ar mjini. Mada motomoto zipo hewani,katiba mpya, ikiwepo siri ya maandamano ya CDM. Nk. Pia linarushwa live kupitia radio IMAAN.
Wenye akili zetu tushajua zamani kuwa huko hapafai!
Ni mwendelezo wa kauli za uchochezi za Sheikh Mkuu Shaaban Simba, sasa zikifanyiwa kazi mikoani!
Arusha si wavumilivu, mapanga yanaweza tembea anytime!...
 
Nimepita hapo hamna cha kongamano wala nini...ni mhadhara kama kawaida takbir,takbir
ajenda zinajulikana
ant CDM
ant US
ant Christians
 
Nimewasikiliza kwa kidogo (sheikh Basalle na wa kabla yake, Issa kama sikosei). Sijasikia kitu kipya zaidi ya 'malalamiko' yaleyale na 'ushahidi' uleule. Bado wanaendelea kuitizama Tanzani kama nchi ya waislamu na wakristo-wakatoliki pekee! Bado wanadhani adui wa kwanza wa uislamu anatoka nje ya waislamu!

Nimesikitika sana pale wanapodhani rais aliyepo madarakani 'tulimchagua' kwa sababu ya uislamu wake na hivyo kumkosoa tunamkosoa kwa sababu ya dini yake.

Wameongea mambo mengi na kusema ukweli mengine ni ya msingi tu lakini wanapoyachanganya na udini inaleta shida kidogo kwa mtu asiye wa imani hiyo.
 
najaribu kufuatilia mkutano ni majungu tupu....oh katiba ya ukristu...oh wizara ya elimu kuna wakristu wengi. Oh freemasons.... Oh balozi wa papa nchini,,,oh mahakama ya kadhi....oh wakristu wamapewa ruzukuoh oh oh6 oh ohohohohohohohohohohohohohohohohohohohohohoohmara takbiiiiii1rrrrrrrrrrrrrrrrrrrr ndndhdnddndnd
 
nadhani wanaCDM haina haja ya kuhudhuria hapo kwani shehe mwenyewe ni ant-CDM na hataki eti waisalamu kuunga mkono maandamano ya CDM ...Acheni waende wenzake
 
"The spread of Islam was military. There is a tendency to apologize for this and we should not. It is one of the injunctions of the Qur'an that you must fight to spread Islam."
— Dr. Ali Issa Othman, Islamic Scholar
 
najaribu kufuatilia mkutano ni majungu tupu....oh katiba ya ukristu...oh wizara ya elimu kuna wakristu wengi. Oh freemasons.... Oh balozi wa papa nchini,,,oh mahakama ya kadhi....oh wakristu wamapewa ruzukuoh oh oh6 oh ohohohohohohohohohohohohohohohohohohohohohoohmara takbiiiiii1rrrrrrrrrrrrrrrrrrrr ndndhdnddndnd

ukweli unazidi kudhihiri, kongamano linasikika nchi nzima kupitia radio imaan fm, mfumo kristo.
 
Nimewasikiliza kwa kidogo (sheikh Basalle na wa kabla yake, Issa kama sikosei). Sijasikia kitu kipya zaidi ya 'malalamiko' yaleyale na 'ushahidi' uleule. Bado wanaendelea kuitizama Tanzani kama nchi ya waislamu na wakristo-wakatoliki pekee! Bado wanadhani adui wa kwanza wa uislamu anatoka nje ya waislamu!

Nimesikitika sana pale wanapodhani rais aliyepo madarakani 'tulimchagua' kwa sababu ya uislamu wake na hivyo kumkosoa tunamkosoa kwa sababu ya dini yake.

Wameongea mambo mengi na kusema ukweli mengine ni ya msingi tu lakini wanapoyachanganya na udini inaleta shida kidogo kwa mtu asiye wa imani hiyo.

ukweli juu ya mfumo kristo unazidi kuwekwa wazi, ni kongamano kubwa linaloshirikisha masheikh wakubwa nchi nzima, msikilizeni sheikh Ilunga now live via Immaan Fm
 
najaribu kufuatilia mkutano ni majungu tupu....oh katiba ya ukristu...oh wizara ya elimu kuna wakristu wengi. Oh freemasons.... Oh balozi wa papa nchini,,,oh mahakama ya kadhi....oh wakristu wamapewa ruzukuoh oh oh6 oh ohohohohohohohohohohohohohohohohohohohohohoohmara takbiiiiii1rrrrrrrrrrrrrrrrrrrr ndndhdnddndnd

alh akbaruuuuuuuu
 
mfululizo wa haya makongamano ya waislamu, ni kama nyoka kakanyagwa mkia, hayana kikomo hadi bungeni, waislam wanaibua yalofichika kwa miaka mingi, Mfumo Kristo ulioasisiwa na Mzee mchonga, Kafiri Nyerere
 
Back
Top Bottom