Ni kongamano kubwa kabisa hapa ARUSHA leo tar 27.

Ndugu zetu waislamu wawe wakweli na waache kubadili historia na kupindisha ukweli. Kimsingi lazima watmbue kuwa kuna tofauti kubwa kati ya waislamu wao na hao wanaowaona na kuwasikia kupitia mainstream media. MoU wao wanadhani sirikali inatoa bure, mi natoka mara, nenda Serengeti, serikali haina hospitali yoyote pale, iliyopo District Designated hospital iko chini ya kanisa la Mennonite Tanzania, mwaka jana mwishoni serikali ndo imeanza kujenga hospitali yake. Vivyo hivyo wilaya ya Bunda hospitali ya wilaya imejengwa na Anglican, achilia mbali Shirati iko chini ya Mennonite church, na zote hizi zinaendeshwa kama public facilities na sio kama Agha kan na nyinginezo na ikumbukwe hazikujengwa na Serikali, sasa hayo ni maeneo machache tizamaWEIL!? Bugando, KCMC to mention a few, serikali isipochangia huduma zitawafikiaje watu wa chini? Waislam waige mema yafanywayo na wenzao na kuacha kulalamika, utaingiaje MoU na huna project yoyote, wao wanadhani serikali ni pumbavu namna hyo. Au kwa kuwa rais wa kwanza alikuwa mkatoliki? Ths is boring. Fanyeni kazi acheni kelele na jueni network ya hao makafir ni kubwa hv leo wakisema hakuna muislam kupata huduma ktk vtuo vyao vya afya, mashule yao wots gonna happen? Acheni dharau jipangeni, hitishen harambee kama wafanyavyo makafir anzisheni huduma za jamii tena nyie matajiri, viongozi wote ngazi za juu, wa mashirika ya umma, wafanyabiashara mahil kina 'RA', Bahresa n.k wote wenu. Otherwise mtadai hadi KIA ilikuwa kiwanja chenu...
 
Wenye akili tumeshajua wapi nchi inakwenda na hii ni kwa sababu ya kukosa maarifa kwa rais wetu.haiwezekani rais wetu ambaye anajua yaliyotokea rwanda yalianza vp halafu anakaa kimya kuruhusu hayo hayo yaanze kujitokeza hapa kwetu.rwanza walianza kuhubiri hivi hivi kuwa hutu walinyanyaswa na tsutsi matokeo yake tuliyaone 1994. watu zaidi ya milion moja walipoteza maisha na hakuna faida iliyopatikana. mi ningeomba radio iman ifungwe kwa kusababisha uchochezi la sivyo tujue ni ajenda ya rais ( baba rizi 1)
ni mawazo yangu tu haya.
 
kaka yangu Pasco Kafiri sio tusi, kafiri ni mtu yeyote anaeenda kinyume na maagizo ya dini ya kiislamu anakuwa kafir, hivyo mtu hata awe mwislamu asiswali tayari ni kafir, labda ndugu yangu waweza nithibitishia wapi kuwa Nyerere alikuwa akiswali kiislam?

Nguzo, mtu asiye muislamu atawezaje kwenda kinyume na maagizo ya dini ya kiislamu wakati yeye si muislamu? Huwezi ku-violate mafundisho yasiyokuhusu. Waamini wa dini husika tu ndiyo wanaweza wakaenda kinyume na mafundisho ya dini yao na kwa hiyo kuwa hatiani na hata kuadhibiwa na wakuu wa dini yake. Kumbe, tafsiri ya kafiri ndiyo hiyo uliyoiweka hapo juu, itakuwa inawahusu waislamu tu, yaani wale waliokwenda kinyume na mafundisho ya dini yao na kitabu chao cha dini. Wale wasio waislamu hawaingii hapo kwani hawafungwi na taratibu za dini hiyo.
 
Hakuna amani bila haki. Mabilioni mnayopewa na serikali ndiyo yana wafanya mcheue hayo matusi. Matusi hayo yatamuamsha hata aliyelala. Kinachotakiwa siyo propaganda tena, maana watu mpaka watatoka hewani jua walikuwa chimbo wanakusanya data. Hapa haki tu
 
Nilikuwa nafatilia Radio Iman (90.8), na haya niyo nimeyaokota mtanisamehe kwa makosa yaliyopo..
Nilikuwa nafatilia Radio Iman (90.8), na haya niyo nimeyaokota mtanisamehe kwa makosa yaliyopo..
Lema aliapa kuwanyanga'a kiwanja cha ijumaa..


Maaskofu walimfata Kikwete na kumwambia sisi viongozi wa makanisa tunadestuli yetu ya kuwahamasisha waumini wetu kuchagua chama/mgombea ili hicho chama au kiongozi aje alitumikia kanisa, isi ndiyo tunao ammua nani atawale na nani asitawale kama usipotusikiliza hatuta kuchagua kikao kikamalizika....Kikwete hawezi kutawala bila maaskofu, kikwete anawasikiliza maaskofu wanataka nini.. anashinikizwa chakufanya na maaskofu…nguvu ya kuuwala kwa serikali ya CCM iko kwa maaskofu ndiyo maana ana waongopa juzi kawachotea mapesa...Tanzania inatawaliwa na maaskofu...makafiri wanasaidiana...msipofanya haya mtakufa, waislam simameni...waislam mmeagana na alah...mabadiliko ya katiba ni mhimu lakini lazima yazingatie mfumo wa usimamizi
kama wasimamizi watabakia wasimamizi wakristo katiba haita badilishwa..kama maaskofu watabaki na nguvu, katiba haitatusaidia watanzania..


Askofu wa mkuu wa Tabora alimwambia sheikh Irunga mfumo kristo hamumuwezi tena tangu 1958 tulivyo wagalagaza.. azimio la Arusha lililenga kuwazoofisha waislam wahindi kwani mwaka huo kulikuwa hakuna mkristo mwenye magorofa(Mali), waislam walipigwa changa la macho kwenye utaifishaji wa mashule tukabadilisha majina tu...
mlifurukuta tena kigoma Malima alipotaka kugombea urais tuka mpigachini......

mfumo kristo utabomoka...
uislam haujawahi kushindwa..mfano mjerumani,waingereza wanawajua...hajawahi kuona historia inayoonyesha uislam kushindwa...mmarekani anapika muislam mwenye suruali fupi au ndefu waislam mnapaswa kuungana
... mwisho wa maneno ya Sheikh Irunga
Sheikh mwingine akaanza kusema Dhuruma sasa basi akawataka wasikilizaji warudie mara 4..akaendelea kusema
wanataka uwiano wa uongozi uwesawa kwenye mashirika yote na haya yafanyike haraka...
Kuu ya wizara ya elimu na mafunzo wameitaka serikali chukue hatua haraka kukomesha unyanyasaji unao fanya na shule zilizoko hapa arusha akazitaja kwa mfano Sekei, Ngarenaro Sec, Inaboishu, nk amesema.



juu ya Wizara ya Fedha
Wamemtaka Mkuro
Adhibitishe uharali wa mkataba ulisainiwa Mwaka 1999 kati ya serikali na Wakristo unawapatia wakristo mabilion na afanye mahesabu ili waislam walipwe/wafidiwe lasivyo Mkuro asimame aseme waislam si watanzania...
Mahakama ya kadhi si swala la kuiomba serikali tena bali tunataka utekelezaji...
tunataka uondolewe ubalozi wa papa nchini lasivyo tunauomba ubalozi wa saudia ulete balozi.
huyu balozi wa vatcan anamuwakilisha nani kwani wa balozi huwakilisha nchi...
tunatoa amri Tanzania ijiunge na oac....

waislamu wa Arusha, tunaipa halmashauli mwezi mmoja kurudisha mali za waislam kama Arusha Meru,
tunaiambia halmashauri itoe kibali cha ujenzi wa msikiti (wa ijumaa)/madra...
Polisi alie tukana neno la kuran aachishwe kazi haraka...
Eneo la stand ndogo ni eneo la waislam wanataka lirudishe haraka sana lasivyo tutavyofoa bati moja moja na hawatatufanya kitu...
kwa kuwa serikali ya JK ni halali..waiache ifanye kazi zake
Meya wa Arusha alioko madarakani waislamu wanamtambua kwa nguvu zao zote...
kwakuwa CDM wametoa siku 21, tunawasubili.. wakitoka barabarani kuandamana na sisi tutatoka kuandamana hatuta vumilia upumbavu huu tena....

duh..kazi tunayo

Najiuliza hii vita ina muhusu nani nani hasa?

Hivi ni 1. UISLAM vs SERIKALI au
2. UISLAM vs UKRISTO au
3. UISLAM vs CHADEMA au
4. UISLAM vs WATANZANIA ?
Mwisho wa siku watajikuta wanapigana wao kwa wao.. maana hawaeleweki??
Sasa huyo JK si atachanganyikiwa?? maana akiungana na waislamu maana yake ni kuikana serikali anayoiongoza..
Ningewashauri waichague serikali ya wakristo mwaka 2015, then waanze kudai madai yao, angalau watakuwa na mtu wa kumrushia mawe..
So far naona hiyo vita yao ni blind..maadui ni wengi, na wenyewe wakiwamo
 
mfululizo wa haya makongamano ya waislamu, ni kama nyoka kakanyagwa mkia, hayana kikomo hadi bungeni, waislam wanaibua yalofichika kwa miaka mingi, Mfumo Kristo ulioasisiwa na Mzee mchonga, Kafiri Nyerere

Kuna kila aina ya akili za watu na majaliwa yao. Ya ovyo kabisa ni ambayo haimkomboi mtu kwa sababu ya kutojua tatizo ambalo linaweza kuleta ufumbuzi na tija.
 
Kuna kila aina ya akili za watu na majaliwa yao. Ya ovyo kabisa ni ambayo haimkomboi mtu kwa sababu ya kutojua tatizo ambalo linaweza kuleta ufumbuzi na tija.

ndugu zangu Waislam hapa duniani hakuna vitu vya bure.hao waraabu mnaowaona wenyewe wana mafuta ndiyo maana wako hivyo.Hayo mawazo yenu ndiyo yanawafanya muwambiwe hamjasoma na na kweli na dought msomi kufikiri hivyo hivi hiyo dini hamna wenye elimu? mmekata tamaa? je mnafikiri ndani ya uislamu mtakuwa pamoja? je mnafikiri hata wakiwapa mgodi ndiyo mafanikio yenu? jitahidini sana kujikomboa kifkira.je huyo Mungu mnayemuabudu anawaruhusu kudai haki zenu kwa njia za shari badala ya maombi kama mnahisi mnaonewa?je rais akitoka ccm akiwa mkiristo mtaendelea kumtetea?je mnataka tuwaulize na ninyi kuwa kwanini hamkuandamana kumpinga bagbgo na mnaandamana nato kumpiga dikteta ghadafi? je Huyo Mungu wenu anaruhusu chuki dhidi ya hao mnaowaita makafri?
Mungu awasamehe tutaendelea kuwaombea mapepo yawatoke
Na msije mkafkiri kuna mkristo yeyote ana mawazo ya kushambuliana nanyi hiyo haipo,Ukristo hufundisha Upendo,uvumilivu amani na vikikosekana silaha ni maombi tu.Vita yetu siyo ya damu na nyama.hizi dini tutaziacha hapahapa duniani.
 
Wataishia kusema tu, na vikao vyao vitaishia na kutoelewana!...hawajaanza leo!

Kama unataka kuona hii sio danganya toto ngoja hizo siku21 ziishe na cdm waandamane,hapo moto utawaka na ndio mnaodhani kuwa ni maneno mtaamini.
 
Nguzo, mtu asiye muislamu atawezaje kwenda kinyume na maagizo ya dini ya kiislamu wakati yeye si muislamu? Huwezi ku-violate mafundisho yasiyokuhusu. Waamini wa dini husika tu ndiyo wanaweza wakaenda kinyume na mafundisho ya dini yao na kwa hiyo kuwa hatiani na hata kuadhibiwa na wakuu wa dini yake. Kumbe, tafsiri ya kafiri ndiyo hiyo uliyoiweka hapo juu, itakuwa inawahusu waislamu tu, yaani wale waliokwenda kinyume na mafundisho ya dini yao na kitabu chao cha dini. Wale wasio waislamu hawaingii hapo kwani hawafungwi na taratibu za dini hiyo.

we nguzo napenda nikulize swali moja unajua wakiristo wengi wanalewa na kuzini na wengi ni washrikina je hivo ndo ukiristo unavoamrisha waumini?bas ucshangae wako waislamu ambao hawaswali na ujue kua uislamu sio jina bali nivitendo
 
duh..kazi tunayo

Najiuliza hii vita ina muhusu nani nani hasa?

Hivi ni 1. UISLAM vs SERIKALI au
2. UISLAM vs UKRISTO au
3. UISLAM vs CHADEMA au
4. UISLAM vs WATANZANIA ?
Mwisho wa siku watajikuta wanapigana wao kwa wao.. maana hawaeleweki??
Sasa huyo JK si atachanganyikiwa?? maana akiungana na waislamu maana yake ni kuikana serikali anayoiongoza..
Ningewashauri waichague serikali ya wakristo mwaka 2015, then waanze kudai madai yao, angalau watakuwa na mtu wa kumrushia mawe..
So far naona hiyo vita yao ni blind..maadui ni wengi, na wenyewe wakiwamo
Mm nakushangaa sana kua hadi leo huelewi nini waislamu wanatafuta waswahili wanasema asiyejua maanA haambiwi maana
 
cheap politics.. Ccm wakiendelea hivi watakufa kifo kibaya sana kama sio kufutika kabisa... nilipompigia kura JK 2005 nilikua na matumaini makubwa sana kwake.. But he proved me wrong na sikumpigia kwa kuangalia sura yake, kabila au dini yake... Ndio maana leo hii hakuna kinachoniuma kama kukosea kura yangu back then, hao masheikh feki hawajui walitendalo njaa zao ndio zinawasumbua wala wasdhani kwa ujinfa wanaoufanya wanafanya kazi ya muumba...
 
nadhani wanaCDM haina haja ya kuhudhuria hapo kwani shehe mwenyewe ni ant-CDM na hataki eti waisalamu kuunga mkono maandamano ya CDM ...Acheni waende wenzake
Wasichokijua ni kwamba wapo waislamu wenye uelewa mzuri ambao ni wanachama wa Chadema
 
Hawa jamaa walitaka kuwateka watu kwa kujifanya wapo kitaifa zaidi ili waweze kuungwa mkono zaidi mi nili wastukia .
Walitaka kumtumia mdogo wangu kiujanja kuwawekea sawa mambo yao flan hivii dogo alivyo liweka mezani nikamuhoji maswali kadhaa kidogo nikubaliane nae lakini alipo niambia kua mashekhe ndio watoa mada aaaaagggggrrrrrrr!!! nikamwambia huo muda na maujinga atakayo mezeshwa ni bora ampeleke shangazi Loliondo.Naomba nieleweke sio kwamba maustaadhi wote ni wafuata upepo laa kuna wengine vichwa mbaya ila muundo wa ile mambo ulikua wakihafidhina zaidi wakuu.
 
Malalamiko ya waislam ni yakweli. Ndo maana toka waanze makongamano wamekuwa wakiishutumu serikali hadharani na serikali ipo kimya. Ingekuwa uongo wangekamatwa kwa uchochezi. Hivyo msijaribu kuwajibia serikali wao waujua ukweli na wapo kimyaaaaä. Ukweli unauma. Msishangae waislam walianza hivihivi enzi ya kudai uhuru.mkoa-mkoa hadi uhuru.
 
Tuna shukuru kutujuza,hawa wana lalamika jk hakusanyi kodi kumbe kodi zetu zaenda church billion45-2009,bil64-2010 na bil611.9-2011 mfumo cristo waendea ukingoni sasa.
 
Back
Top Bottom