pererge
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 571
- 206
Hii inahusiana na kitu kinaitwa aerodynamics, a branch of dynamics that deals with the motion of air and other gaseous fluids and with the forces acting on bodies in motion relative to such fluids. Kama ulisoma physics kidogo itakua rahisi kuelewa.
Ndege inavyopaa inatumia similar principles kama ndege halisi mfano njiwa wanavyopaa, njiwa anatumia wings(mabawa) na mkia kumuwezesha kupaa na kufanya manouvers akiwa angani.
Ndege ya abiria nayo inakuwa na wings katika zile wings za kati na za nyuma kuna kitu kinaitwa aero foils vipo kama vibati flani ambavyo rubani anaweza kuvicontrol kwa kuvipandisha juu au chini. Vikipanda juu vina create drag force ya juu ambayo huivuta ndege kwenda juu na vikishuka chini vinaivuta ndege ishuke chini,ili uelewe vizuri soma kuhusu aerodynamics kwenye internet.
Zile propeller engine, kazi yake ni kupunguza air friction na kuiwezesha ndege kusonga mbele.
Naomba nichangie kuhusu hivyo vibati, kwa ndege kubwa vipo vya aina mbili; kuna vile vinavyokuwa kwenye ukingo wa nyuma wa bawa ambavyo nadhani ndio ilokuwa unavizungumzia kaziyake ni kuongeza drag wakati wa kutua ili ndege iweze kutua kwa spidi ndogo na hapo huchomolewa hadi mwesho, wakati wa kuruka vinachomolewa kiasi ili kuongeza sweeping area ya bawa. Vibati vingine vinakuwa upande wa juu ya bawa nyuma kidogo vinaitwa spoiler, huchomoza na kunyanyuka juu wakati wa kutua ili kuongeza drag pia.