Ni kitu gani hutufanya tuwe na mpenzi zaidi ya mmoja?

Mlango unatakiwa kuwa na funguo moja tuu na dhamani yake itazidi ,lakini kama kila funguo inafungua basi hauna maana tena(malaya).

Lakini funguo inayoweza kufungua milango mbalimbali ni MASTER KEY (KIDUME)
 
Unaharibu sasa.....necha hairuhusu ugomvi, kwahiyo waifu hapaswi kumjua msaidizi wake ila msaidizi anapaswa kumjua bosi wake.......

Kesho mbona mbali....ukimalizana na Kaizer uje huku mtaa wa pili, utanikuta na mkongojo wangu.

Daahh
Babu samahani
Kaizea amesahau jinsi ya kuziba pancha
Kwa hiyo ntachelewa kiDoncho
Hahahah lol
 
Mi nazani ni katamaa ambako kapo ndani ya muhusika wala sioni sababu nyingine
 
Back
Top Bottom