Ni kitu gani hutufanya tuwe na mpenzi zaidi ya mmoja?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,577
8,596
Unakuwa na mpenzi wako,au hata mke/mume lakini unajikuta umeshawishika kuwa na mahusiano nje hii inatokana na nini??haswa?je nikuwa uliyenaye umemuchoka?lugha lahisi hakuna maelezo!!!
 
Tusimsingizie shetani wala tusiseme ni bahati mbaya. Hulka zetu za kushindwa kuzuia tamaa zetu za kimwili. Pia ukiwa na hofu ya Mungu dhamira yako itakusuta na utazikemea tamaa zote mbaya
 
Kwa wanaume: Hawakuumbwa kuwa na mwanmke mmoja...huwezi kupingana na necha.

Kwa wanawake wenye tabia hiyo: Umalaya, mwanamke anapaswa awe na mwanaume mmoja tu.

Narudi kitandani.
 
Kwa wanaume: Hawakuumbwa kuwa na mwanmke mmoja...huwezi kupingana na necha.

Kwa wanawake wenye tabia hiyo: Umalaya, mwanamke anapaswa awe na mwanaume mmoja tu.

Narudi kitandani.

odm umenifanya nicheke mwenyewe! Sisemi zaidi,,lolz
 
Kwa wanaume: Hawakuumbwa kuwa na mwanmke mmoja...huwezi kupingana na necha.

Kwa wanawake wenye tabia hiyo: Umalaya, mwanamke anapaswa awe na mwanaume mmoja tu.

Narudi kitandani.

odm umenifanya nicheke mwenyewe! Sisemi zaidi :hug:
 
Asprin the tiger shark ndio mzee wa infidelity.
Nakupenda na hicho kipaji chako cha kazi za nje na valuer na konyagi zako
 
hizi ni tabia tu za ukware kama mtu una mazoea hayo huwezi kuacha!
Unakuwa na mpenzi wako,au hata mke/mume lakini unajikuta umeshawishika kuwa na mahusiano nje hii inatokana na nini??haswa?je nikuwa uliyenaye umemuchoka?lugha lahisi hakuna maelezo!!!
 
...dah, mimi nawashangaa sana aisee. Mmoja tu kasheshe.
 
Basi kama nihivyo iwekwa mkataba ili kutoa mwanya kwa wengine round iwafikie
 
Asprin the tiger shark ndio mzee wa infidelity.
Nakupenda na hicho kipaji chako cha kazi za nje na valuer na konyagi zako
Nazjaz hebu soma hapo chini kwa kiswahili

The Following User Says Thank You to Nazjaz For This Useful Post:

Asprin (Today)

Afu hebu fanya logistics basi tunywe wote valuu siku moja afu tujue cha kufanya.
 
Kwa wanaume: Hawakuumbwa kuwa na mwanmke mmoja...huwezi kupingana na necha.

Kwa wanawake wenye tabia hiyo: Umalaya, mwanamke anapaswa awe na mwanaume mmoja tu.

Narudi kitandani.

Babu shikamoo
Mie sijawahi kukataa point
yako hata siku moja lakini leo
imenibidi.....

Kama mwanaume
atakuwa na mwanamke
Zaidi ya moja na huyo mwanamke
lazima atakuwa na mwanaume zaidi ya
moja mfano kama uko na mke wa mtu na
we tayari unawako nyumbani
tayari huyo mwanamke ana wanaume wawili na we
Unawanawake wawili ..kwa hiyo huwezi sema ni malaya..
 
Unakuwa na mpenzi wako,au hata mke/mume lakini unajikuta umeshawishika kuwa na mahusiano nje hii inatokana na nini??haswa?je nikuwa uliyenaye umemuchoka?lugha lahisi hakuna maelezo!!!

Ni tamaa tu mpendwa mwisho w siku unarudi kwa mkeo/mumeo. Na wengi hukuta kuna gapes compared na kwa mke/mume.
 
Babu shikamoo
Mie sijawahi kukataa point
yako hata siku moja lakini leo
imenibidi.....

Kama mwanaume
atakuwa na mwanamke
Zaidi ya moja na huyo mwanamke
lazima atakuwa na mwanaume zaidi ya
moja mfano kama uko na
mke wa mtu na
we tayari unawako nyumbani
tayari huyo mwanamke ana wanaume wawili na we
Unawanawake wawili ..kwa hiyo huwezi sema ni malaya..

Afrodenzi umesema
hata GF ana BF wake
 
Shikamoo babu, necha kwa wanaume tu??
Marahaba kajukuu........Yap. Kama unabisha kayaulize majogoo, mabeberu, simba, nk nk......ulishawahi kuona mafahari wawili wamekaa zizi moja? Thats nature bana....mwanaume lazima amiliki bidhaa ya kike zaidi ya moja

Babu shikamoo
Mie sijawahi kukataa point
yako hata siku moja lakini leo
imenibidi.....

Kama mwanaume
atakuwa na mwanamke
Zaidi ya moja na huyo mwanamke
lazima atakuwa na mwanaume zaidi ya
moja mfano kama uko na mke wa mtu na
we tayari unawako nyumbani
tayari huyo mwanamke ana wanaume wawili na we
Unawanawake wawili ..kwa hiyo huwezi sema ni malaya..
Marahabaa kajukuu...

Mwanaume anayetoka na mke wa mwanaume mwenziye, naye ni malaya. Mi nazungumzia mwanaume anayetoka na mwanamke ambaye hana mume/mwanaume wa kumwondolea mauzito na majimaji yasiyotakiwa mwilini....

Narudia kauli yangu:
Mwanaume akitoka na wanawake zaidi ya mmoja, ilhali si mwanamke wa mwanaume mwingine, hiyo ni halali kabisa kwa mujibu wa necha.
Mwanamke akitoka na zaidi ya mwanaume mmoja...Malaya.

Narudi tena kitandani......ole wake atakayeniamsha!
 
wanawake ni wazuri na wanaume ni wazuri. kila mmoja humtamani aliye mzuri so hata km una mke/mume huwezi kujizuia.
 
Back
Top Bottom