Ni kitu gani hutufanya tuwe na mpenzi zaidi ya mmoja?

Kama ni wanawake kutowaridhisha je ma girlfriend??kesho unakuwa huyu kesho nayule kweli wote hawakuridhishi??jd unatakiwa kuridhishwa kivipi labda muweke wazi mimi ninavyojua utamu unaomwenyewe hata wale wanaopiga master full shangwe ili mradi akuweke katika mind!!
 
Kwa wanaume: Hawakuumbwa kuwa na mwanmke mmoja...huwezi kupingana na necha.

Kwa wanawake wenye tabia hiyo: Umalaya, mwanamke anapaswa awe na mwanaume mmoja tu.

Narudi kitandani.

chunga tamaa mby chunga mby tamaa. n pepo 2 hlo
 
Mkitumia neno malaya kwa wanawake tu then mnakosea,.if a man anamove na wasichana kila leo mwingne,then he is a dog!botom line..na mwanamke hvo hvo..hamna cha nature,
 
Mkitumia neno malaya kwa wanawake tu then mnakosea,.if a man anamove na wasichana kila leo mwingne,then he is a dog!botom line..na mwanamke hvo hvo..hamna cha nature,

:disapointed::disapointed::tape::tape:
 
kwakweli nashangaa watu wanavyosupport kutoka nje kwamba ni nature na watu wengu wanafuraia tu,tunazidi kutoa maana ya ndoa. Sasa we unajisifia kidume unaetoka nae unafikiri anae wewe tu,utaishia kutoa mijihela yako tu anakuchora,wanawake hawajisifii ila naamini wengi wanfanya hivyo kutokana na tabia zenu za kuhalalisha iki kitu na wao ili kulinda heshima/cheti anaona bora atoke kimya kimya,we unafikiri hana hisia yani ajue kabisa unatoka nje alafu yeye akae tu akusubirie,mnajidanganya.Sio sifa wala nini tulia na mmoja hizo ni akili tu mlizojijengea
 
Mi+naona ni+ile asili ya mwanadam ya kutenda dhambi ndo inasababisha wa2 kuwa na mwanamke zaid ya mmoja. So wa2 wanatakiwa ku2bu na kumrudia mungu
 
Mi+naona ni+ile asili ya mwanadam ya kutenda dhambi ndo inasababisha wa2 kuwa na mwanamke zaid ya mmoja. So wa2 wanatakiwa ku2bu na kumrudia mungu
Wabongo??waliambiwa kunaukimwi tumieni kondom sasa wanasema ukitumia zuma style maji kwa wingi!! hupati ukimwi sasa hawa watu utawafanyeje??
 
Unajua hata unga wa ngano ni mmoja but unatoa mandazi,chapati,keki,visheti,etc. Nafkr umenisoma
 
Unakuwa na mpenzi wako,au hata mke/mume lakini unajikuta umeshawishika kuwa na mahusiano nje hii inatokana na nini??haswa?je nikuwa uliyenaye umemuchoka?lugha lahisi hakuna maelezo!!!

,, tatizo ni moja tu ni kupenda ngono kama hitaji au commmodity na kanuni ya
uumbaji kila hitaji halina mwisho wa kulihitaji.... a desire has not an infinity.''
 
Back
Top Bottom