Ni kitu gani hutufanya tuwe na mpenzi zaidi ya mmoja?

Marahabaa kajukuu...

Mwanaume anayetoka na mke wa mwanaume mwenziye, naye ni malaya. Mi nazungumzia mwanaume anayetoka na mwanamke ambaye hana mume/mwanaume wa kumwondolea mauzito na majimaji yasiyotakiwa mwilini....

Narudia kauli yangu:
Mwanaume akitoka na wanawake zaidi ya mmoja, ilhali si mwanamke wa mwanaume mwingine, hiyo ni halali kabisa kwa mujibu wa necha.
Mwanamke akitoka na zaidi ya mwanaume mmoja...Malaya.

Narudi tena kitandani......ole wake atakayeniamsha![/QUOTE]
Daahh
Knock knock
samahani babu imenibidi nikuamshe tena
kwa hiyo ni halali kwa mwanaume aliye oa na
familia yake kwenda nje ya ndoa yake na binti ambaye
hajaolewa lakini huyo binti ana boy friend ?
 
We kajukuu vipi?

Hivi si nimesema mwanaume hapaswi kutafuna mwanamke ambaye ana mwanaume anayemkamua? Hivi boifrendi siyo mwanaume.........Mi nazungumzia hawa ambao hawana wanaume kabisa........mnataka waitii kiu yao kwa magunzi? Acheni uchoyo!

Ole wako uniamshe tena.
 
hahaaaa hii kali, JF mmhh.
 
Mwanaume akiwa anatembea na wanawake wawili anakuwa anawapenda wote au ni kutimiza haja zake tu? Nilidhani mapenzi hayagawanyiki. Na kama hayagawanyiki, basi badili swali lako. Kwangu mtu huwezi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja. Ila waweza kuwa na mahusiano na zaidi ya mtu mmoja. Au nyie wanaume mko tofauti? You can separate you love (heart) in two, three, four parts and share it with several ladies. Nisaidieni jamani maana kila siku zinavyozidi kwenda nahisi siwaelewi wanaume kabisa! Huko kwa vimada au kwa wife mnakuwa mnapenda kweli au mnatimiza matakwa ya miili yenu?
 
Unakuwa na mpenzi wako,au hata mke/mume lakini unajikuta umeshawishika kuwa na mahusiano nje hii inatokana na nini??haswa?je nikuwa uliyenaye umemuchoka?lugha lahisi hakuna maelezo!!!

Hili ni tatizo kubwa hasa kwa wanandoa, hakuna uaminifu kabisa baba akianza mama anamalizia. na ni kweli sababu za msingi hakuna kama ni kugombana kwenda nje sio suluhisho.
 
We kajukuu vipi?

Hivi si nimesema mwanaume hapaswi kutafuna mwanamke ambaye ana mwanaume anayemkamua? Hivi boifrendi siyo mwanaume.........Mi nazungumzia hawa ambao hawana wanaume kabisa........mnataka waitii kiu yao kwa magunzi? Acheni uchoyo!

Ole wako uniamshe tena.

Ok
swali la mwisho
Sasa hapo kama mwanaume ana mke
na msichana yuko single nani malaya?

Samahani sana
kwa kukuamsha..
 
Kwa wanaume: Hawakuumbwa kuwa na mwanmke mmoja...huwezi kupingana na necha.

Kwa wanawake wenye tabia hiyo: Umalaya, mwanamke anapaswa awe na mwanaume mmoja tu.

Narudi kitandani.

Naona kweli unarudi......:drum:
 
Kibiritigitaa????? kazi gani ????
We unafikiri mpaka hako katumbo kaumuke ni kazi ndogo?...wanaume tunajituma mchana na usiku kujaza hako kakitu.

Ok
swali la mwisho
Sasa hapo kama mwanaume ana mke
na msichana yuko single nani malaya?

Samahani sana
kwa kukuamsha..
Hapo hakuna malaya kwa kuwa mwanaume atakuwa na wanawake wawili wote mali zake, na kasichana katakuwa na mwanaume mmoja, na bi mkubwa naye anakuwa na mwanaume mmoja.

Silali tena manake huchelewi kuniamsha tena
 
Marahaba kajukuu........Yap. Kama unabisha kayaulize majogoo, mabeberu, simba, nk nk......ulishawahi kuona mafahari wawili wamekaa zizi moja? Thats nature bana....mwanaume lazima amiliki bidhaa ya kike zaidi ya moja

Marahabaa kajukuu...

Mwanaume anayetoka na mke wa mwanaume mwenziye, naye ni malaya. Mi nazungumzia mwanaume anayetoka na mwanamke ambaye hana mume/mwanaume wa kumwondolea mauzito na majimaji yasiyotakiwa mwilini....

Narudia kauli yangu:
Mwanaume akitoka na wanawake zaidi ya mmoja, ilhali si mwanamke wa mwanaume mwingine, hiyo ni halali kabisa kwa mujibu wa necha.
Mwanamke akitoka na zaidi ya mwanaume mmoja...Malaya.

Narudi tena kitandani......ole wake atakayeniamsha!

hommie umeamkia wapi leo?

mi mwanamke ni mwanamke haijalishi kama ni mke wa mtu ama ni GF au hana mtu kabisa

mkewa wa mtu au yeyote si anakuwa na mvuto ule ule ambao tunasema necha hatuwezi kupingana nayo?

chukulia mfano, Chetuntu ni mwanamke lakini mke wa mtu, Na Afrodenzi naye ni mwanamke lakini ako single, kisha Nazjaz yeye ako na BF ila hajaolewa . Tofauti yao inakujaje tunapoiweka nature kwen perspective?

haaaa mi narudi gest Kipepeo msiniulize niko na nani
 
Nazjaz hebu soma hapo chini kwa kiswahili

The Following User Says Thank You to Nazjaz For This Useful Post:

Asprin (Today)

Afu hebu fanya logistics basi tunywe wote valuu siku moja afu tujue cha kufanya.

Huyu atakuwa mrembo wako wa 4 kumpata ndani ya wiki 2 . . . .
Hivi wewe kamati zako zinakuchunguza kweli??:yield:
 
Unakuwa na mpenzi wako,au hata mke/mume lakini unajikuta umeshawishika kuwa na mahusiano nje hii inatokana na nini??haswa?je nikuwa uliyenaye umemuchoka?lugha lahisi hakuna maelezo!!!
Hata gari lina spea tairi ii ya maanisha ni kuwa na akiba.mpenz X akizingua wajiongeza kwa mwingne
 
hommie umeamkia wapi leo?

mi mwanamke ni mwanamke haijalishi kama ni mke wa mtu ama ni GF au hana mtu kabisa

mkewa wa mtu au yeyote si anakuwa na mvuto ule ule ambao tunasema necha hatuwezi kupingana nayo?

chukulia mfano, Chetuntu ni mwanamke lakini mke wa mtu, Na Afrodenzi naye ni mwanamke lakini ako single, kisha Nazjaz yeye ako na BF ila hajaolewa . Tofauti yao inakujaje tunapoiweka nature kwen perspective?

haaaa mi narudi gest Kipepeo msiniulize niko na nani

Namuoa wiki ijayo April 16
 
Hahahaaaa home mate umeua mazima......mi napuliza we unang'ata ndo aje sasa....

Necha inapinga kuuana....so tofauti ya Afrodenzi na Nazjaz na Chetundu ni kuwa, kwakuwa Afroo yuko singo, unajibanjulia bila kuhofu kuwekewa tego, kuchapwa makonde au kutafunwa kinyeo chako na wenye mali zao...necha haipendi.

Lakini kwa kuwa Afroo yuko single...aku, unajimegea kwa raha zako kama necha inavyotutaka, iwe gesti, chumbani ake, hotelini, kwenye garrrr ako/ake au chini ya mwembe.

Nakufuata huko geshti nijue kama unadumisha mila au unazingatia maslahi ya necha.
 
Huyu atakuwa mrembo wako wa 4 kumpata ndani ya wiki 2 . . . .
Hivi wewe kamati zako zinakuchunguza kweli??:yield:

Kijana umeshamaliza homework au unaangalia hii tamthilia ya necha?.........unaniharibia ujue dogo.......
 
We unafikiri mpaka hako katumbo kaumuke ni kazi ndogo?...wanaume tunajituma mchana na usiku kujaza hako kakitu.

Hapo hakuna malaya kwa kuwa mwanaume atakuwa na wanawake wawili wote mali zake, na kasichana katakuwa na mwanaume mmoja, na bi mkubwa naye anakuwa na mwanaume mmoja.

Silali tena manake huchelewi kuniamsha tena

Hahahahahahahah lol
Haya babu nakubaliana
Na weye kidoncho tuuu
Jekama kweli umemweleza huyo
binti mdogo ukweli kwamba una mke
unadhani ye atakubali kuwa second hand clothes?

Dahhh leo nisamehe bure..
 
Unakuwa na mpenzi wako,au hata mke/mume lakini unajikuta umeshawishika kuwa na mahusiano nje hii inatokana na nini??haswa?je nikuwa uliyenaye umemuchoka?lugha lahisi hakuna maelezo!!!

Treatment ndio isssue,inategemea huyo wako anavyo kutreat!!
 
Hahahahahahahah lol
Haya babu nakubaliana
Na weye kidoncho tuuu
Jekama kweli umemweleza huyo
binti mdogo ukweli kwamba una mke
unadhani ye atakubali kuwa second hand clothes?

Dahhh leo nisamehe bure..

Kwa taarifa yako, mabinti wengi siku hizi wanapenda wanaume waliooa.

1. Si wasumbufu, hamna kupigiana masimu usiku kuombana baioloji
2. Wepesi wa kugawa mshiko, wanajua hali halisi ya maisha
3. Wanajua jinsi ya kumfikisha mwanamke anapopahitaji....wako experienced

Ngoja nikalale kidogo, usiniamshe
 
Back
Top Bottom