Ni kitu gani hutufanya tuwe na mpenzi zaidi ya mmoja?

Unakuwa na mpenzi wako,au hata mke/mume lakini unajikuta umeshawishika kuwa na mahusiano nje hii inatokana na nini??haswa?je nikuwa uliyenaye umemuchoka?lugha lahisi hakuna maelezo!!!

ni kwa sababu uliye nae hajakamilika.
 
Kwa wanaume: Hawakuumbwa kuwa na mwanmke mmoja...huwezi kupingana na necha.

Kwa wanawake wenye tabia hiyo: Umalaya, mwanamke anapaswa awe na mwanaume mmoja tu.

Narudi kitandani.

Sina uwakika na ubabu wako lakini you like fidel80 au pacha? mitazamo yenu balaa!
 
Habari zenu warembo.

Ndo mnaamka siyo? sredi ilishafungwa siku nyingi, hapa sasa ni mjadala wa with au without...

Babu mimi ndo naamka...hebu nieleweshe hapo pa with au without ndo nini vile? bado macho yana usingizi....
 
Sina uwakika na ubabu wako lakini you like fidel80 au pacha? mitazamo yenu balaa!

Fidel anakunywa Valuu, Mi nakunywa Biya
Fidel anamegea gesti za Tandale Uzuri, Mi hoteli za Kunduchi
Fidel hana mke mimi nina mke na wasaidizi wake kadhaa
Fidel ni Yanga wa kufa n'tu, Mi ni simba damu damu
Fidel ni kijana, mimi ni babu
Fidel ni mtaalam wa kujiexpress, mimi natumia line ya voda

Mtazamo twaweza kuwa sawa lakini siyo pacha wangu.....japokuwa twaweza kushea kwa kuwa tunaamini Sharing is Caring.
 
Back
Top Bottom