Nakazia kwa 100.upuuzi mwingine wa mbogamboga.Kujihusisha na CCM kwa namna yoyote ile..
Kuwa polisi au kujihusisha na CCMNi kitu gani hutamani mtoto wako apitie kwenye maisha ?
nakazia hoja! Mwanamke anaongea kama cherehan, neno moja yeye ana maneno mia!Apate mke kama wa kwangu ( Mama yake )