Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani?

Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
8,435
Points
2,000
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2013
8,435 2,000
Kutoka jasho ni afya na ni dalili kuwa figo zako ziko fit vaa nguo za cotton, kuwa na kitambaa cha mkononi endelea kula bata
 
Said Cosmetics

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
973
Points
1,000
Said Cosmetics

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
973 1,000
Habari wakuu,

Naombeni ushauri wenu. Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani.

Jasho linanifanya nakuwa uncomfortable kiasi kwamba nashindwa kuvaa baadhi ya nguo maana nikianza tu safari, ndani ya dk kumi kwapa linaanza kuloa.

Japo na admit, jasho langu halina harufu na deodorant ninayoumia ni nivea.

Mwenye msaada wa kufanya kwapa lisitoe jasho kabisa.

Natangulisha shukrani.
Haiwezekan mkuu kwa hili
 
K

king suleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Messages
1,662
Points
2,000
K

king suleman

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2014
1,662 2,000
nyoa nywele za kwapa, vaa furana au nguo ya ndan na nje vaa nguo nyepesi
 
Joowzey

Joowzey

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2015
Messages
10,260
Points
2,000
Joowzey

Joowzey

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2015
10,260 2,000
Kivuruge kumbe unatoka jasho makwapani
 
D

Deleted member 485868

Guest
D

Deleted member 485868

Guest
Toa nywele na wax ..sugua na ndimu..kaa for dk 10-15 osha kwapa lako..au tumia deodorant ya FA ni nzuri mno au hata secret ila ina bei ...
 
evocom

evocom

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Messages
228
Points
250
evocom

evocom

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2017
228 250
Nyoa vizuri, OSHA kwa maji moto alafu kausha then paka limao
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
8,755
Points
2,000
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
8,755 2,000
Hata hiyo deodorant ya niver ipo inayokufanya usitoke jasho la kwapa imeandikwa nivea anti perspirant dry confidence plus
Antiperspirant ziko brand nyingi sana cha muhimu hakikisha kuwa ni original,usidanganyike na bei,ziko za bei kubwa lakini bado hazikai muda mrefu unakuta ndani ya masaa 6 harufu ya kwapa inatokea.Ushauri wangu ni kuwa anza na stick deodorants halafu harufu ikishapotea taratibu utaanza kutumia antiperspirants za kawaida ambazo sio stick....
 
the locksman

the locksman

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Messages
959
Points
250
the locksman

the locksman

JF-Expert Member
Joined May 5, 2012
959 250
Antiperspirant ziko brand nyingi sana cha muhimu hakikisha kuwa ni original,usidanganyike na bei,ziko za bei kubwa lakini bado hazikai muda mrefu unakuta ndani ya masaa 6 harufu ya kwapa inatokea.Ushauri wangu ni kuwa anza na stick deodorants halafu harufu ikishapotea taratibu utaanza kutumia antiperspirants za kawaida ambazo sio stick....
Stick deodorants, hii ndio ipoje mkuu. Sana sana msaada wa kuzuia jasho sio harufu.
 
Madame S

Madame S

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Messages
15,084
Points
2,000
Madame S

Madame S

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2015
15,084 2,000
Antiperspirant ziko brand nyingi sana cha muhimu hakikisha kuwa ni original,usidanganyike na bei,ziko za bei kubwa lakini bado hazikai muda mrefu unakuta ndani ya masaa 6 harufu ya kwapa inatokea.Ushauri wangu ni kuwa anza na stick deodorants halafu harufu ikishapotea taratibu utaanza kutumia antiperspirants za kawaida ambazo sio stick....
umenikwot wrong
 
SMART PASSENGER

SMART PASSENGER

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Messages
552
Points
500
SMART PASSENGER

SMART PASSENGER

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2018
552 500
Maji ya ugali yaliyolala
Nawa kila asubuhi kwa siku 5

Kisha niretee mrejesho
 
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
4,423
Points
2,000
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
4,423 2,000
Habari wakuu,

Naombeni ushauri wenu. Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani.

Jasho linanifanya nakuwa uncomfortable kiasi kwamba nashindwa kuvaa baadhi ya nguo maana nikianza tu safari, ndani ya dk kumi kwapa linaanza kuloa.

Japo na admit, jasho langu halina harufu na deodorant ninayoumia ni nivea.

Mwenye msaada wa kufanya kwapa lisitoe jasho kabisa.

Natangulisha shukrani.
Tafuta na kitu kinachoweza kukusaidia usiwe unakunya.
 
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Messages
19,066
Points
2,000
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2016
19,066 2,000
Kutoka jasho kwapani ni afya!!
 
Georgie Jr

Georgie Jr

Member
Joined
Aug 23, 2018
Messages
79
Points
125
Georgie Jr

Georgie Jr

Member
Joined Aug 23, 2018
79 125
Ushauri wangu kwanza Nenda hospitali inawezeka ni tatizo la ndani la tezi jasho Ku over react , pili jaribu sana kuwa na amani katika akili yako, kaa mbali na misongo ya mawazo, kazi nyingi zilizo na mpangilio,fyeka watu negative ktk maisha yako,meditate na kuwa na amani na mazingira halisi yanayokuzunguka .....I promise utaona matokeo
 
Forum statistics

Threads 1,342,645
Members 514,741
Posts 32,758,629
Top