Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,001
- 1,586
Haiwezekan mkuu kwa hiliHabari wakuu,
Naombeni ushauri wenu. Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani.
Jasho linanifanya nakuwa uncomfortable kiasi kwamba nashindwa kuvaa baadhi ya nguo maana nikianza tu safari, ndani ya dk kumi kwapa linaanza kuloa.
Japo na admit, jasho langu halina harufu na deodorant ninayoumia ni nivea.
Mwenye msaada wa kufanya kwapa lisitoe jasho kabisa.
Natangulisha shukrani.