mara ya kwanza kutumia lifti ilibidi nisubiri mtu wa kupanda nae aisee!!! Niliogopa aibika...Mimi mara ya kwanza lift nilishindwa kufungua kutoka ndani zamani sana..! Jamaa alinikuta mle macho yamenitoka nikaona aibu kusema..
HahahDaby nipe link ya ule uzi wako wa kuaibika nishushie na balimi hapa..
Ahsante charii yangu ya ara..
doooh...Mara ya kwanza kutumia smart phone, nimetoka dukani nimefika home nimeicharge battery full nimeingia mtaani, mtu wa wa kwanza ananipigia ninapress green button, kuna kaka aliniona alikuja kunisaidia kufuta na kidole, oohh.