Ni kitu gani ambacho kiliwahi kukutoa ushamba?

Daaah siku ya kwanza kuingia kituo cha mwendokasi, nililipia nauli tena nkatoa elfu5 ili nisiambiwe nauli haitoshi, ilikuwa ni pale urafiki naenda posta nikampa mdada(mlinzi) anisaidie kuscan sasa kimbembe kupita pale mlangoni nkadhani kile kichuma kinafungukia juu. Nilinyanyua lile chuma mpaka mrembo mmoja akanionea huruma akaja kusogeza tu mlango ukafunguka. Kwa aibu nilokuwa nayo nilisubiri mpka watu wote mle ndani ya kituo wakaondoka ndo na mimi nikapanda gari
 
Simu yangu ya kwanza kumiliki ilikuwa Alkatel, siku tatu za mwanzo sikuwahi kuiona iki vibrate.
The other day nilikuwa naendesha baiskeli simu nikatumbukiza kwenye back pack, sijui ilijibonyeza vipi ikaita kwa vibration, kitu ambacho nilikuwa sijakitegemea kabisa.
Nikajua ntakuwa nimebeba panya au snake kabisa. Niliruka kama ninja baiskeli ikadondokea chaka lingine mimi kwenye vumbi, begi nalo nimetupia mbali kabisa..
Nikatafuta bonge la fimbo nikaanza kutoa kichapo kwa lile begi hadi niliporidhika chochote kilichomo kitakuwa kimeshakufa.
Kuja kufungua begi duuh!! simu haifai. Nilitamani kwenda kujishtaki polisi mwenyewe
 
Mara ya kwanza kutumia smart phone, nimetoka dukani nimefika home nimeicharge battery full nimeingia mtaani, mtu wa kwanza ananipigia ninapress green button, kuna kaka aliniona alikuja kunisaidia kufuta na kidole, oohh.
 
Baada ya kutembelea ukweni na kupiga menyu ya maana na kuvimbiwa mbaya,nikauliza msalani nikaonyeshwa,si nikaingia na kushusha mzigo wa hatare,sasa si unajua tena vyoo vya kizungu vyataka kufrash maji mengi,nmeshamaliza shughuli bhana,si nikavuta ile kamba,maji hola kumbe yamekatika kitaaambo!!ooh balaa hili jamani kucheki kwenye ndoo ,nmenawa yameisha!!asalaalee!!nikatoka nikatafute maji japo nimuombe beki 3 kiasi tu nikafrash!!,ile niko namnong'oneza beki 3,naona shemeji mkubwa(dada mtu) nae anaelekea msalani!!hatareee si akaingia bhana!!pliz sitaki kukumbuka zaid ile aibu!!nini kilifuata?ntarudi
Uuuuuh!
 
Daaah siku ya kwanza kuingia kituo cha mwendokasi, nililipia nauli tena nkatoa elfu5 ili nisiambiwe nauli haitoshi, ilikuwa ni pale urafiki naenda posta nikampa mdada(mlinzi) anisaidie kuscan sasa kimbembe kupita pale mlangoni nkadhani kile kichuma kinafungukia juu. Nilinyanyua lile chuma mpaka mrembo mmoja akanionea huruma akaja kusogeza tu mlango ukafunguka. Kwa aibu nilokuwa nayo nilisubiri mpka watu wote mle ndani ya kituo wakaondoka ndo na mimi nikapanda gari
 
Simu yangu ya kwanza kumiliki ilikuwa Alkatel, siku tatu za mwanzo sikuwahi kuiona iki vibrate.
The other day nilikuwa naendesha baiskeli simu nikatumbukiza kwenye back pack, sijui ilijibonyeza vipi ikaita kwa vibration, kitu ambacho nilikuwa sijakitegemea kabisa.
Nikajua ntakuwa nimebeba panya au snake kabisa. Niliruka kama ninja baiskeli ikadondokea chaka lingine mimi kwenye vumbi, begi nalo nimetupia mbali kabisa..
Nikatafuta bonge la fimbo nikaanza kutoa kichapo kwa lile begi hadi niliporidhika chochote kilichomo kitakuwa kimeshakufa.
Kuja kufungua begi duuh!! simu haifai. Nilitamani kwenda kujishtaki polisi mwenyewe
mbavu zangu jamani!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mpaka leo bado naona aibu ninapo MCHOJOA Demu nguo ya NDANI.....!!

Najionaga kabisa KUJITOA ufahamu katika kutekeleza AZIMA (Tendo).
 
Daaah siku ya kwanza kuingia kituo cha mwendokasi, nililipia nauli tena nkatoa elfu5 ili nisiambiwe nauli haitoshi, ilikuwa ni pale urafiki naenda posta nikampa mdada(mlinzi) anisaidie kuscan sasa kimbembe kupita pale mlangoni nkadhani kile kichuma kinafungukia juu. Nilinyanyua lile chuma mpaka mrembo mmoja akanionea huruma akaja kusogeza tu mlango ukafunguka. Kwa aibu nilokuwa nayo nilisubiri mpka watu wote mle ndani ya kituo wakaondoka ndo na mimi nikapanda gari
Umenikumbusha tukio fulani kwenye daladala ya ubungo 2012 ,kuna abiria alikuwa anashuka na mzigo wake ulikuwa nyuma ya mlango sasa alihitaji msaada wa waliokaribu na ule mzigo wamtole.

Sasa kuna njemba moja baunsa kavaa body tight akawa anatumia nguvu kulivuta lakini mzigo hautoki kila akivuta hautoki pembeni yake alikuwepo jamaa mmoja miyeyusho kavaa t shirt ya form six bwanga refu karibu na magotini na kavaa yeboyebo akawa anajaribu kutoa baada ya kuona yule njemba akihangaika sasa yule njemba akawa mbishi ila baadae yule jamaa mwingine alitoa mzigo wepesi na kirahisi alisogeza mlango na kisha kunyanyua mzigo na kumkabidhi mhusika sasa yule jamaa akamgeukia baunsa na kumuambia tumia akili unatumia minguvu minguvu utafikiri upo kijijini mjini tumia akili nguvu kijijini kwa sauti kubwa ,yule baunsa akawa amepanic akawa anampiga mkwara jamaa we mngese nini ntakuzingua na mikwara mingine yule jamaa akawa hatishiki akamrudishia tusi mngese mwenyewe tumia akili ,unatumia minguvu nguvu tu yule baunsa akamuambia jamaa sasa wewe ku"***mako endelea halafu uone,kinachofurahisha ni jamaa alivyokuwa baunsa na namna alivyokuwa anatumia effort kubwa lakini kitu kilikuwa simple tu aliaibika Sana ase

Dah nilicheka mno ile siku mpaka nikazuga kama nalala huku nimeinamia magoti kumbe naendelea kucheka huku nikijizuia

Naona mjomba na ww ukawa unatumia nguvu kubwa kumbe kitu ni simple tu haha
 
Simu yangu ya kwanza kumiliki ilikuwa Alkatel, siku tatu za mwanzo sikuwahi kuiona iki vibrate.
The other day nilikuwa naendesha baiskeli simu nikatumbukiza kwenye back pack, sijui ilijibonyeza vipi ikaita kwa vibration, kitu ambacho nilikuwa sijakitegemea kabisa.
Nikajua ntakuwa nimebeba panya au snake kabisa. Niliruka kama ninja baiskeli ikadondokea chaka lingine mimi kwenye vumbi, begi nalo nimetupia mbali kabisa..
Nikatafuta bonge la fimbo nikaanza kutoa kichapo kwa lile begi hadi niliporidhika chochote kilichomo kitakuwa kimeshakufa.
Kuja kufungua begi duuh!! simu haifai. Nilitamani kwenda kujishtaki polisi mwenyewe
boss umevunja mbavu zangu asubuhi na mapema
 
Daaah siku ya kwanza kuingia kituo cha mwendokasi, nililipia nauli tena nkatoa elfu5 ili nisiambiwe nauli haitoshi, ilikuwa ni pale urafiki naenda posta nikampa mdada(mlinzi) anisaidie kuscan sasa kimbembe kupita pale mlangoni nkadhani kile kichuma kinafungukia juu. Nilinyanyua lile chuma mpaka mrembo mmoja akanionea huruma akaja kusogeza tu mlango ukafunguka. Kwa aibu nilokuwa nayo nilisubiri mpka watu wote mle ndani ya kituo wakaondoka ndo na mimi nikapanda gari

Aisee
 
Baada ya kutembelea ukweni na kupiga menyu ya maana na kuvimbiwa mbaya,nikauliza msalani nikaonyeshwa,si nikaingia na kushusha mzigo wa hatare,sasa si unajua tena vyoo vya kizungu vyataka kufrash maji mengi,nmeshamaliza shughuli bhana,si nikavuta ile kamba,maji hola kumbe yamekatika kitaaambo!!ooh balaa hili jamani kucheki kwenye ndoo ,nmenawa yameisha!!asalaalee!!nikatoka nikatafute maji japo nimuombe beki 3 kiasi tu nikafrash!!,ile niko namnong'oneza beki 3,naona shemeji mkubwa(dada mtu) nae anaelekea msalani!!hatareee si akaingia bhana!!pliz sitaki kukumbuka zaid ile aibu!!nini kilifuata?ntarudi
Utakunyaje ukweni nawewe?
 
akakuta shilingi ina elea baharini malizia mkuu
 
Back
Top Bottom