Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,051
Yoteunamkumbukia mazuri,au unamkumbukia mabaya.
Yoteunamkumbukia mazuri,au unamkumbukia mabaya.
Alikua anapiga na gitaa tu au ndio mwendo wa kulambana midomo tu na saxophone km zote ila gitaa halipigwi nyuzi zote?Sio kila siku.
Ubongo wangu umepata mtetemo hapo juu kidogo akakukalisha kufaidi kwenye nini tena huyo ex wako?Alinikuta mpya akanikalisha kufaidi hadi leo.
Ubongo wangu umepata mtetemo hapo juu kidogo akakukalisha kufaidi kwenye nini tena huyo ex wako?
Nimekuelewa mkuu una uandishi unique sana mtu kujua lazima achome kuni hata moja kidogo then akizoom anaona hapa umeandiika unyama mwingi mkuu, kwa hio anakumiliki mpaka leo na anakufaidi mpaka leo huyo exb?Kukakilisha = kunimiliki = kuganda 😅😅😅
Me uandishi wangu mara nyingi.. lazima mtu kujua kwenda nje ya boksi fastaaaaaa kudaka.. Eeeeh
Sawa mchambuzi 👍kwa majibu haya inaonyesha wewe ndo uliachwa
Apostooo kuna kitu kimetokea😎We were a very crazy couple fr, tulivibe hatari! Kumoke, clubbing, long drive with louder music, singing along like crazy 😝 we were the late night shenanigans☺️ marafiki zangu walinishangaa kuwa naye, marafiki zake walihisi karogwa! Nakumbuka aliniamini sana, mpaka mshahara wake mzima mzima anauleta kwangu! Basi tu maisha mengine lazima yaendelee!
Nilikuwa sipendi sex, lakini pale niliiomba🤸🏽♀️🌚
Hapo mwisho mwisho kabisa na alikua anakushika matako si ndio?Nilikuwa sipendi sex, lakini pale niliiomba🤸🏽♀️🌚
Alikuwa anatushinka wote unashaau vipi haraka?Hapo mwisho mwisho kabisa na alikua anakushika matako si ndio?
Labda mimi ndio hua nakushikaAlikuwa anatushinka wote unashaau vipi haraka?
Mhm nimetoka kapa tenaAlinikuta mpya akanikalisha kufaidi hadi leo.
Hatari sanaAlikua hana gharama yeye ata road tu nilikua nalomba ilimradi kuwe na ka giza giza kiasi
Sina pa kushika we kijana jishkilie!Labda mimi ndio hua nakushika
HahahahaHahaha hapo kwenye kupuliza hapo ndio umeniacha round about ya Msimbazi
Loh..!Alikua anatoa ndogo
Inafika hatua unaona kila mtu anamuhitaji mwenzake inatakiwa sparks kidogo tu penzi lirudi kuwa moto na hiyo spark ndiyo haitokei, unajaribu kuwa cool, labda muda utafanya maamuzi kumbe ndo mnapotezana mazimaa. Mambo yanakatika ju kwa juu na majuto debe.Kumbe wakati mwingine haya mambo yanafanana,
Inafika hatua unaona kila mtu anamuhitaji mwenzake inatakiwa sparks kidogo tu penzi lirudi kuwa moto na hiyo spark ndiyo haitokei, unajaribu kuwa cool, labda muda utafanya maamuzi kumbe ndo mnapotezana mazimaa. Mambo yanakatika ju kwa juu na majuto debe.
💔🚮