Ni kipi unachomkumbukia ex wako?

Ni kipi unachomkumbukia ex wako?

😁😁 kauli za kibingwa hiziii eeeh.. haya banaaa.. sie kuna magame yanabakia kichwani miaka nenda rudi.. kuna zile mechi zilijutokeaga unique hadi leo hakunaga..
Kwenye kicwa changu now kuna hiii chupa Jina lake Magic bottle
Unaponiambia habari za X unanichanganya niache kwanza😜😁
 

Attachments

  • IMG_20260412_130327.jpg
    IMG_20260412_130327.jpg
    530.3 KB · Views: 10
Nakumbuka kile kipindi nipo na A,sex was so pure.

The way anaongea na mimi nilikuwa naiona future,nikadhani pengine angekuwa wa maisha lakini Muda ulibadilika.

Taswira ikabadili,kasoro zikaanza kuonekana,kila mtu akawa ni kama anamhitaji mwenzake lakini hakuna connection kama zamani.

Nikajaribu kuwa cool,kusubiri muda useme it's was too late sana,kaolewa na ana maisha yake na familia yake.

Nilimkataza kunitafuta bila sababu maalum,alikuwa mtu poa lakini mwenye hasira na wivu wa viwango vya juu sana.
Kumbe wakati mwingine haya mambo yanafanana,

Inafika hatua unaona kila mtu anamuhitaji mwenzake inatakiwa sparks kidogo tu penzi lirudi kuwa moto na hiyo spark ndiyo haitokei, unajaribu kuwa cool, labda muda utafanya maamuzi kumbe ndo mnapotezana mazimaa. Mambo yanakatika ju kwa juu na majuto debe.

💔🚮
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom