Leo tena dahuu yule simwelewagi kabisa angetoka angekuja demu mwingine hata dina kipindi kingekuwa kitamu sana kwa sasa kipo vagaravagara, pb kipo poa na xxl kama kawaida bdozen hajapunguza chochote kuondoka kwakeClouds FM ni radio ambayo unaweza sikiliza siku nzima ina vipind bomba.
Kidogo siku hz baada ya kuondoka b12,xxl nakuwa sielew kwasasa,b12 alkuwa anajua kuwaongoza vizur na mahojiano na wasanii yalkuwa poa sana.
Ukisikiliza clouds kuanzia asubuh mpaka jion,hakuna haja ya kununua gazeti,kuangalia taarfa ya habari,hata hakuna haja ya kutembelea mitandao ya kijamii.