Ni kipi kilicho tangula Rangi au matunda zambarau?

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Inawezekana rangi ya zambarau ndio iliyotangulia kabla ya tunda,ndipo yalipokuja haya matunda wakayaita kutokana na kufananishwa na rangi ya zambarau.! pia matunda yanawezekana kuwa yalikuwepo kabla ya rangi, embu nielewesheni hapo ni kipi kilitangulia?
 
Jibu lako tohoa hapa ,
Inaposemwa " ile ni rangi ya Mawingu (bluesky)
yalitangulia mawingu au rangi kuwepo ?
Some quiz , found result from quiz !
 
Back
Top Bottom