Ni Kipanya tena, kwa wenye akili pekee

Ni Kipanya tena, kwa wenye akili pekee

Ngazi inaashiria miaka ya uongoza kwamba baada ya kuingia madarakani watu tulitegemea mabadiliko makubwa.lakini kadili muda unavyokwenda matumaini yanapotea juu yake.

Ngazi katika namba 4 inaashiria kuna ngazi ambayo inapswa itumike kama mwanga ili kuondoa mkwamo wa maendeleo yaliyopo sasa .na kwa maana hiyoo anachomaanisha hapa ni kutumia ngzi namba 4 ambaye ni BKM ili kupata unafu.
Asante kwa kujaribu mkuu
 
hizo ngazi binafsi naona ni pambo tu, na pengine pia huenda zikawa na maana...
 
Nakataaa kabisa....ingekuwa ni katuni ya kusifu mamlaka asingeweka "code" ngumu kwa kuwa hakuna MWANACCM anayeweza kuumiza kichwa kiasi hiko.
sidhani kama kuna codes ngumu, pia ikumbukwe amezoea kusumbua vichwa vya mashabiki wake.. hii ni kutokana na uhitaji wa katuni kuzungumziwa zaid katika mitazamo na tafsiri mbalimbali
 
Awamu ya 4 ilikuwa mambo super mwendo wa kupanda tu sasa awamu ya 5 hakuna kukatiza kwenda 6 kama watu wanataka kuongeza muda tuishie 5 wapambe wanaanza kumezwa na joka lenyewe.
 
Muhula wa mwaka wa Sita baada ya miaka mitano kuisha joka lililotesa watu miaka mitano linajaribu kubahatisha kukamata muhula mwingine kwa mbinu zilezile
Yaani hili Joka ni kama ni la kukodi/kujitegemea maana linaelekea kula joka la kijani na joka la kijani halina pa kukimbilia na limejawa na kihoro na hofu kuu
 
hii katuni ukiangalia kwa maoni yangu naweza kusema hivi
Nyoka huyo mkubwa ni jpm na huyo mdogo ni makonda😎😎😎.

Tokeo la picha la x
Mbona naona inajieleza. Ni kwamba RC kabebwa miaka 4. Wa tano Mkuu anataka kumng'oa.
 
Miaka 5 Ni uchaguzi... inaonekana CCM itashinda lakini nayo itamezwa na joka. Kutakuwa hakuna CCM Tena Bali joka peke yake...na ndio maana baada ya namba 6 hakuna namba Tena.
 
Muhula wa mwaka wa Sita baada ya miaka mitano kuisha joka lililotesa watu miaka mitano linajaribu kubahatisha kukamata muhula mwingine kwa mbinu zilezile maana kwa Sasa halibebeki ngazi za kupandia zimeharibika linatumia kamali kuona uwezekano
Tokeo la picha la tick mark
​
 
Hilo joka ni lipi na limetokea wapi ndani ya chama?
Miaka 5 Ni uchaguzi... inaonekana CCM itashinda lakini nayo itamezwa na joka. Kutakuwa hakuna CCM Tena Bali joka peke yake...na ndio maana baada ya namba 6 hakuna namba Tena.
 
Back
Top Bottom