Ni Kipanya tena, kwa wenye akili pekee

Ni Kipanya tena, kwa wenye akili pekee

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,312
Bado yule msanii matata na mzoefu wa katuni leo hii ametujia na katuni tatanishi na safari hii ili uweze kuisoma inabidi akili yako iwe inachaji.

Kwetu siye kina asante Kayumba hatuja funua kitu.
20190924_125447.jpeg
 
Mods kuna typing erorr kwenye kichwa hapo ni (kipanya) na sio (kupanya)
 
Bado yule msanii matata na mzoefu wa katuni leo hii ametujia na katuni tatanishi na safari hii ili uweze kuisoma inabidi akili yako iwe inachaji.
Kwetu siye kina asante Kayumba hatuja funua kitu.View attachment 1214895
hii katuni ukiangalia kwa maoni yangu naweza kusema hivi
Nyoka huyo mkubwa ni jpm na huyo mdogo ni makonda😎😎😎.
 
Muhula wa mwaka wa Sita baada ya miaka mitano kuisha joka lililotesa watu miaka mitano linajaribu kubahatisha kukamata muhula mwingine kwa mbinu zilezile maana kwa Sasa halibebeki ngazi za kupandia zimeharibika linatumia kamali kuona uwezekano
 
Joka hilo ni lipi mkuu maana kila mwenye macho analiona hapo kwenye picha kuwa ni joka
Muhula wa mwaka wa Sita baada ya miaka mitano kuisha joka lililotesa watu miaka mitano linajaribu kubahatisha kukamata muhula mwingine kwa mbinu zilezile maana kwa Sasa halibebeki ngazi za kupandia zimeharibika linatumia kamali kuona uwezekano
 
hii katuni ukiangalia kwa maoni yangu naweza kusema hivi
Nyoka huyo mkubwa ni jpm na huyo mdogo ni makonda[emoji41][emoji41][emoji41].
maana ukiangalia hizo namba zinasimamia muda wake wa uongozi aliokaa madarakani na hizo ngazi mbili ya kwanza n aloshukia na kuanza uongozi na ngazi ya pili ipo kwenye mwaka wake wa 4 ambao ndo atapandia kuachia uongozi japo yeye anataka kulazimisha afikishe mpaka mwaka wa 5 ila jpm kangaka anataka kummeza kwasababu anajifanya kama hajaona ngazi ilipowekwa hvo anataka kupitiliza[emoji41][emoji41][emoji41].
 
Bado yule msanii matata na mzoefu wa katuni leo hii ametujia na katuni tatanishi na safari hii ili uweze kuisoma inabidi akili yako iwe inachaji.

Kwetu siye kina asante Kayumba hatuja funua kitu.View attachment 1214895
Tafsiri imewashinda wote?
Tafsiri iko hivi, yule nyoka mdogo ni CCM, na zile namba za rangi nyeupe na nyekundu ni Chadema ambayo yule nyoka mdogo mwenye rangi ya kijani iliyofifia ni CCM aliyekuwa akiila Chadema, na lile joka kubwa linalommeza yule nyoka mdogo wa kijani iliyofifia "pale green " (CCM) ni taifa kubwa ambalo Tafsiri yake ndo litaitoa CCM madarakani.
 
Shukrani mkuu kwa mchango wako

Back
Top Bottom