SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
Wana JF nataka kujua ni kiongozi gani wa nchi hii(Tanzania kwa sasa) ambaye siyo fisadi wala Msanii ili Watanzania wamuige matendo yake kwa maendeleo ya nchi. Asante.
wakina nani hao ili Watanzania wawajue?viongozi wa chama makini cha ACT wanaongoza kwa uadilifu..
viongozi wa chama makini cha ACT wanaongoza kwa uadilifu..
Lakini tungependa zaidi kujua viongozi wanaoongoza nchi hii (serikali) kuliko kwenye vyama vya kisiasa au taasisi nyingine ambazo siyo za kiserikaliviongozi wa chama makini cha ACT wanaongoza kwa uadilifu..
wakina nani hao ili Watanzania wawajue?
Lakini tungependa zaidi kujua viongozi wanaoongoza nchi hii (serikali) kuliko kwenye vyama vya kisiasa au taasisi nyingine ambazo siyo za kiserikali
Nitashangaa sana kama hakuna kiongozi yoyote ambaye siyo fisadi wala msanii ambaye yupo kwenye serikali yetu hii na taasisi zake.watanzania wazalendo
Wenye maoni kuhusu hawa waliotajwa hapo juu kama kweli siyo wasanii au Mafisadi watuelezee vizuringoja nikutajie safu ya waadilifu serikalini
1.kikwete
2.magufuli
3.membe
4.sita
5.prof. tibaijuka
6.kinana
7.mangula
8.nape
9.mwigulu
10.migiro
Wana JF nataka kujua ni kiongozi gani wa nchi hii(Tanzania kwa sasa) ambaye siyo fisadi wala Msanii ili Watanzania wamuige matendo yake kwa maendeleo ya nchi. Asante.
Tehe! tehe! tehe!......View attachment 149123
Msoga ndio kwake huyo mwadilifu
Na mimi naomba kukuuliza ni lini ulishasikiaga Kiongozi Mzanzibari FISADI?Wana JF nataka kujua ni kiongozi gani wa nchi hii(Tanzania kwa sasa) ambaye siyo fisadi wala Msanii ili Watanzania wamuige matendo yake kwa maendeleo ya nchi. Asante.
ngoja nikutajie safu ya waadilifu serikalini
1.kikwete
2.magufuli
3.membe
4.sita
5.prof. tibaijuka
6.kinana
7.mangula
8.nape
9.mwigulu
10.migiro
Eti wewe unajiita ACT, sema tu kwamba wewe gamba tena zaidi ya lile la Chenge lililokwama kiunoni!
namba 1 angalau ila rafiki zake wamemwangusha/mchafuangoja nikutajie safu ya waadilifu serikalini
1.kikwete
2.magufuli
3.membe
4.sita
5.prof. Tibaijuka
6.kinana
7.mangula
8.nape
9.mwigulu
10.migiro