Ni kiongozi gani sio Fisadi au Msanii

Ni kiongozi gani sio Fisadi au Msanii

Jamani mbona hamtupi rejea?? Mimi kwa kutumia ''mwembeyanga list of shame'' naomba kumtoa namba 1.
namba 1 angalau ila rafiki zake wamemwangusha/mchafua
--------2 anajitahidi kula na vipofu
--------3 kuna mashaka
--------4 kama namba 1 tu
---------5 wa kichini chini
---------6 he known how to use a gun a former soldier
---------7 hana kashfa ila wanajitahidi mchafua
---------8 moyowe mengi sometimes hupozwa
---------9 ujana mwingi umaarufu wa nguvu..kama no.8
---------10 kazungukwa nao ...but no evidance kama nae hula
 
Wana JF nataka kujua ni kiongozi gani wa nchi hii(Tanzania kwa sasa) ambaye siyo fisadi wala Msanii ili Watanzania wamuige matendo yake kwa maendeleo ya nchi. Asante.

Bila kubaguwa hadi viongozi wa siasa wa vyama vyote vilivyo hai kwani siku moja navyo vinaweza kushika dola

1- ccm
2. Chadema
4.ACT
5,Udp
6.nccr
Nani msaffi
 
Alie kua kiongozi wa EAGT Mose Kurola sijui Krola
 
Wana JF nataka kujua ni kiongozi gani wa nchi hii(Tanzania kwa sasa) ambaye siyo fisadi wala Msanii ili Watanzania wamuige matendo yake kwa maendeleo ya nchi. Asante.

unamaanisha wa kisiasa au na wengine pia wapo viongozi wengi hata mimi ni kiongozi
 
Back
Top Bottom