Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Na log in. Mara chache sana humu Jf, mara nyingi napenda kua mtazamaji namaanisha guest. Hi kitu cjui ni leo tu au cku zote, kwa haraka haraka nimekutana na thread kama 4 au 3 zina husiana na mambo ya ushoga, je hi ni kawaida hapa? na kama sio kawaida basi hakuna dalili njema hapa. ondoeni harufu hii humu ndani haipendezi watu timamu kujadili haya. manoah kaombe msamaha kubadili ID haisaidi tumeshakuzoea ukijiita wa WA KISHUA haisaidii