mgangawaukoo
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 2,183
- 2,394
Kwel kizaz cha .com
Ila mapenzi ya hivyo yapo xna.
Upo chuo gan bibie.
Ila mapenzi ya hivyo yapo xna.
Upo chuo gan bibie.
Ndo uliamua kumchanulia miguu kirahisi namna hiyo?!
Sa hiyo hofu ya awali why haikushirikiana na mwili abdalla kichwa wazi agome kuingia kwenye dyudyu yako?!
Chezea baridi ya iringa weye... na usitudanganye kuwa eti mlitumia mpira?!! baridi na condom wapi na wapi weye!!!
NB:Kama umenasa, usitupe kichanga chooni tafadhari...
Yeah! i guess you too really ended up quite safely na u screamed "oooh thanks bae" mkagulu wa watu akajilia bure kabisa!!Na kuna barid haswaaa,but we did safely mkuu
Wewe jinsia ipi kwanza?
kama umeiva jarib zali inaweza ikawa kwelukweli mchungu,Afu mi ndo nimeiva.dah,aisee
Ha ha ha, unasikia kwa watu Tu,nawe si usafiri mkuu, ila jamaa nae sijui anasimiliaje huko aliko. Maana kaokota dodo kwenye mdodoki.Hiyo huwa inatokeaga sana ila zali kama hilo kwangu halijawahi kunitokea!
Mkuu Kama mtu mzima kila kitu kinaeleweka hapa.Mguu wa mtoto sijaelewa
I disagree with you. Kukutana na mtu na kufanya siku ya kwanza, au kufanya mwaka baada ya kukutana hakubadili kitu. Mimi nilikutana na mtu wangu siku ya kwanza na tukajikuta tumeshaburuzana..... And still tupo pamoja so strong.Umekuwa cheap sana, mmekutana siku hiyo na ukampa tunda siku hiyo hiyo? sina uhakika km atakuwa na malengo ya mbali na ww, maana atahofia akikuoa utatoa tunda kipindi kingine ukisafiri ktk mazingira km hayo.
I disagree with you. Kukutana na mtu na kufanya siku ya kwanza, au kufanya mwaka baada ya kukutana hakubadili kitu. Mimi nilikutana na mtu wangu siku ya kwanza na tukajikuta tumeshaburuzana..... And still tupo pamoja so strong.
umeku it is always happens in real life and everybody do it
a chachu ya nyinyi kuwa pamoja na waaminifu kwa kipindi kirefu kutokana na style yenu mliyokutana
We wadhani BLANGETI CHAPA MTU NI NIkwahiyo alikugegeda?
Asante kwa ushauri
Ndiyo tulido
salaaam!
ni ivi,jumapili nilikuwa natoka safari toka shinyanga to Iringa,nikiwa stend kuu ya shinyanga,akatokea kijana fulan alijitambulisha kwa jina na nikaweza tambua kuwa ni mkaguru.
Baada ya utambulisho akanambia ana tiket mkonon to Iringa but ni mgen kwa iringa japo inayompeleka ni kaz.nikamwambia mi ni mwenyeji wako.Aisee,kiukweli pale nilimchukulia poa,so nikawabusy somehow japo yeye alijitahidi kuwamsaidiz wangu kwa kila nilichokuwa nafanya kwa time ile.
Basi safar ikaanza,story,story na wewe.Kutokana na umbali Wa safar na matatizo ya usafiri tulifika iringa saa 7 usiku,mi binafsi nilikuwa nimechoka na usingiz ukachangia nikawa nawaza kitanda tu.
Tukaanza saka vyumba vya kulala,hapa na pale kwa sababu ni stendi ya mabas,guest nyingi zikawa zimejaa,but Mungu Mkuu tukafanikiwa lodge moja lakin ilibakiwa na room moja self cont.Shida ikaanzia hapo,kwanza tukatazamana kwa muda fulan,muhudumu naye anatutazama bas mioyo ikaongea KALALENI.....jamaa akatikisa kichwa kuashiria kwamba ndo ivo tuingie,kwa kuogopa muhudumu kutushtukia kuwa hatufahamian tukatimba.
Mi kichwan nawaza,yaan ukisikia mtu kafia lodge ndo Leo.Nikatangulia kuoga kinguonguo,yeye zamu yake akavua nguo kaenda na taulo,nilikuwa namwangalia coz nilikuwa naogopa majanga.
karudi kulala akajifunika blanketi lake,story zikanoka mi hapo mkavuuu,yaan usingiz kwisha.zilianza story za maisha,maisha maisha....SAA nane zikabadilika love story,oo mi niliumizwaga niliumizwaga,Tisa,zikaanza za baridi,oo barid barid iringa.
kutazamana kwa hisia kukaanza Mara blanketi moja Mara yeye ndo blanket.Ndo ikawa ivo.
Tunaendeleza mawasiliano ila tatizo lipo kwangu sasa,kutokana na mkono wake kufika mbali na kuweza kukuna ipasavyo,nimependa kweli.I love you zimekuwa nyingi from him but namwomba Mungu iwe kweli coz nikizama ndo nimekufa.mi 27 ye 29.
Nishaurini jamen napotea kumwekea malengo makuu au nikubali pata potea.