Ni kama story ila ndo ukweli

Ni kama story ila ndo ukweli

Naamini wanaume wanapenda mke anayejiheshimu ktk hali yote,sasa wewe mtu humfahamu umejilainisha kulala nae mtu hata humjui,je kama ni jini?
Ndo haya mambo baadae unalalamika maisha hayaendi,siolewi kumbe kuna sehemu uliloga mwenyewe.
Huyo kaka hana muda nawe wala kuwaza kuwa utakuwa mke,kwakuwa ukisafiri unaweza fanya mistake hiyo.
Ukiendelea nae mtaishia kuwa friends with benefits yani rafiki wa kufaana haja za kimwili.tafakari..
 
Umekuwa cheap sana, mmekutana siku hiyo na ukampa tunda siku hiyo hiyo? sina uhakika km atakuwa na malengo ya mbali na ww, maana atahofia akikuoa utatoa tunda kipindi kingine ukisafiri ktk mazingira km hayo.

Akikuoa inabidi nimshangae yaani cku 1 tu kala mzigo

Umeathirika mdogo wangu

Duh we ni mlaini sana,yaani siku hiyohiyo jamaa kala mzigo? Na hapo ulipigwa peku piga ua

Na mapenzi ya kushtukiza ghafla bila kutarajia!
Jamaa atakuwa alikutomba peku na akakojolea humo humo!
Yaani wanawake wa cku hizi wepesi kuliwa!
Na usikute mmoja wenu ana ngoma kamuambukiza mwenzie
Pia usikute kila mmoja kati yenu ana mpenzi wake alikotoka!
Yaani maisha ya leo ukiwa na demu akakuaga anasafiri safari ndefu ujue huko safarini uwezekano wa kutafunwa ni mkubwa!

Liongo!!!!

Yaani wanadamu ni wepesi sana ku hukumu,

kuona wenzetu wamefanya makosa makubwa

angalieni nyoote hapo juu mlivyokomaa!

shine G relax, usisikilize chochote wala kebehi za hapa na pale midume yoote inayokusema hapa ingejump to the first chance they could get

Back to what you feel...........usikilize moyo wako as mapenzi hatupangi wapi tunakutana nayo, yanatokea, wanaume huwa tunaanza kutamani na mwishowe huwe tunajenga hisia kwenye tulichokitamani lakini tukiongozwa na upendo na utashi wenu nyie wanawake...................sisi ni kama vile mbwa ajipelekavyo kwa chatu ................naungana na wote waliokushauri hapa mwamuzi ni wewe!
 
Thanks much.
 
Kumbe akili zako zinaishia mwisho wa pua yako!. Sijui kama ndiyo maana yako( kwa sababu umeandika lugha usiyoijua) kwamba kila mtu ni mpumbavu hufanya maamuzi kwa mihemuko. Huo ni upumbavu na ufinyu wa akili. Hakuna mtu anayejali maisha anaweza kuamua kufanya ngono eti kwa sababu amekutana na mtu tena katika dharura halafu usiku mmoja tu!

Huyo ni wewe na watu wa aina yako wenye akili za kikuku.

Binadamu lazima uwe na maamuzi yaliyomakini hata kama utakosea lakini usitumie emotions kuamua jambo zito kama hili. Huo ni ukahaba! na si watu wote ni wanyama au makahaba! PERIOD. MAKAHABA FARIJIANENI LAKINI WAADILIFU WANASEMA "UPUMBAVU MTUPU".

kwenye RED
kweli nakubali kwamba akili zangu zinaishia mwisho wa pua,na kweli lugha niliyotumia sio yangu ni ya kina Ras Simba
dhamira yangu ilikuwa ni kusema kwamba kila mtu anafanya makosa na haina sababu ya kujilaumu suala ni kusonga mbele
Mbona unaandika kwa hasira sana na inaonekana kama kuna kitu zaidi ya icho.

kwenye BLACK
wewe itakuwa ni punguani ,eti hakuna mtu anayejari maisha ambaye anaweza kufanya ngono kwa kukutana na mtu siku moja, hivi wewe ni nani mpaka unasema hivyo na kuita watu wapumbavu...naomba uniambie maana ya kujari maisha.

kwenye BLUE
Umeona upunguani wako jinsi ulivyo ambapo hata wewe mwenyewe haujui mitazamo yako iko mlengo gani, maana juu kule unapinga moja kwa moja lakini chini uku eti unasema "lakini"

ukahaba ni sehemu ya maisha na hata ukiukwepa wewe hayo ni maisha uliyoyachagua ambayo hayamuhusu mtu yeyote,mtoto wako anaweza kuwa malaya anagongwa na kila mpita njia mpaka ukashangaa duniani.
 
kama umempenda kwa mguu wa mtoto it might be a problem. nikionacho hapo ulifanya window shopping sababu ilikuwa ni mmekutana stand na kuna mtu alilazimishwa na context ya kuwa mgeni na aendako. please jaribu kumchek kama mnaweza shabihiana kibehaviour.
 
Umekuwa cheap sana, mmekutana siku hiyo na ukampa tunda siku hiyo hiyo? sina uhakika km atakuwa na malengo ya mbali na ww, maana atahofia akikuoa utatoa tunda kipindi kingine ukisafiri ktk mazingira km hayo.
Kweli kabisa mkuu that is too cheap just an accident mh hii mihemko itatumaliza kabisa jamani tuwe na uwoga kidogo na mambo haya na then unataka kumfanya mpenzi kweli?amesafiri mara ngapi kacheza huo mchezo na je ataacha ata ukiwa mkewe no one knows.Lakini sababu wote mnaonyesha mna tabia moja mnaweza kumatch na kuvumiliana.Lakini mpz jaribu kujithamini na self control be stricktly bana dah!!!!Kweli ndo mana ndoa zetu majanga.
 
kwenye RED
kweli nakubali kwamba akili zangu zinaishia mwisho wa pua,na kweli lugha niliyotumia sio yangu ni ya kina Ras Simba
dhamira yangu ilikuwa ni kusema kwamba kila mtu anafanya makosa na haina sababu ya kujilaumu suala ni kusonga mbele
Mbona unaandika kwa hasira sana na inaonekana kama kuna kitu zaidi ya icho.

kwenye BLACK
wewe itakuwa ni punguani ,eti hakuna mtu anayejari maisha ambaye anaweza kufanya ngono kwa kukutana na mtu siku moja, hivi wewe ni nani mpaka unasema hivyo na kuita watu wapumbavu...naomba uniambie maana ya kujari maisha.

kwenye BLUE
Umeona upunguani wako jinsi ulivyo ambapo hata wewe mwenyewe haujui mitazamo yako iko mlengo gani, maana juu kule unapinga moja kwa moja lakini chini uku eti unasema "lakini"

ukahaba ni sehemu ya maisha na hata ukiukwepa wewe hayo ni maisha uliyoyachagua ambayo hayamuhusu mtu yeyote,mtoto wako anaweza kuwa malaya anagongwa na kila mpita njia mpaka ukashangaa duniani.

couldn't nailed it better...........kudos mkuu chuma cha reli , tujitoe ukauzu na kuwa wakweli wanafsi, watu wanataka kuwafanya binadamu wenzao kama matofali yalifyatuliwa na muashi mmoja
 
Back
Top Bottom