Ni kama story ila ndo ukweli

Ni kama story ila ndo ukweli

umekutana na stranger na kilichotakiwa kuwepo ni "One night Stand" tu maana kilichokufanya uingie kwenye huo uhusiano ni mihemko ya ngono na it was just an accident and you don't need to regret it coz it is always happens in real life and everybody do it

hamkujiandaa kuwa wapenzi ila hiyo situation ndio imewafanya so inatakiwa uwe mwangalifu sana usije ukikuta ni mume wa mtu

but sometimes sisi ndio tunaohamua maisha yetu so its better to choose coz love thing is very complicated, pia inaweza kuwa chachu ya nyinyi kuwa pamoja na waaminifu kwa kipindi kirefu kutokana na style yenu mliyokutana

Asante kwa ushauri mkuu
 
Hiyo huwa inatokeaga sana ila zali kama hilo kwangu halijawahi kunitokea!
hii kitu mie imeshanitokea mara mbili pale mikumi mizani na korogwe
ni One night stand ni bonge la experience katika hali ya kawaida tu
 
Km ulikuwa na Mpenz wako wa kitambo endelea naye achana na huyo kijana km huna jipe tm ya kumchunguza na msifanye tena ngono mpaka ndoa akiweza kwel he is serious usituamin sana sis wanaume naweza kutembea na any girl any tm bt ntampenda mmoja tu
 
Umekuwa cheap sana, mmekutana siku hiyo na ukampa tunda siku hiyo hiyo? sina uhakika km atakuwa na malengo ya mbali na ww, maana atahofia akikuoa utatoa tunda kipindi kingine ukisafiri ktk mazingira km hayo.
 
Aisee...ni ngumu kuamini kama kutakuwa na lolote jema baada ya tukio ila...

Muamuzi ni wewe. Kama mtaweza kukutana next time bila ku do, kama mtaweza kuendelea kuwasiliana na akakushirikisha mipango yake ya maisha...basi waweza endelea kujipa moyo.
 
Msome mtu kwanza ingawa kuna watu wagumu kusomeka kwa haraka unaweza ukajikuta unapoteza muda,ndo maana unaambiwa hii game ngumu
 
salaaam!
ni ivi,jumapili nilikuwa natoka safari toka shinyanga to Iringa,nikiwa stend kuu ya shinyanga,akatokea kijana fulan alijitambulisha kwa jina na nikaweza tambua kuwa ni mkaguru.

Baada ya utambulisho akanambia ana tiket mkonon to Iringa but ni mgen kwa iringa japo inayompeleka ni kaz.nikamwambia mi ni mwenyeji wako.Aisee,kiukweli pale nilimchukulia poa,so nikawabusy somehow japo yeye alijitahidi kuwamsaidiz wangu kwa kila nilichokuwa nafanya kwa time ile.

Basi safar ikaanza,story,story na wewe.Kutokana na umbali Wa safar na matatizo ya usafiri tulifika iringa saa 7 usiku,mi binafsi nilikuwa nimechoka na usingiz ukachangia nikawa nawaza kitanda tu.

Tukaanza saka vyumba vya kulala,hapa na pale kwa sababu ni stendi ya mabas,guest nyingi zikawa zimejaa,but Mungu Mkuu tukafanikiwa lodge moja lakin ilibakiwa na room moja self cont.Shida ikaanzia hapo,kwanza tukatazamana kwa muda fulan,muhudumu naye anatutazama bas mioyo ikaongea KALALENI.....jamaa akatikisa kichwa kuashiria kwamba ndo ivo tuingie,kwa kuogopa muhudumu kutushtukia kuwa hatufahamian tukatimba.

Mi kichwan nawaza,yaan ukisikia mtu kafia lodge ndo Leo.Nikatangulia kuoga kinguonguo,yeye zamu yake akavua nguo kaenda na taulo,nilikuwa namwangalia coz nilikuwa naogopa majanga.
karudi kulala akajifunika blanketi lake,story zikanoka mi hapo mkavuuu,yaan usingiz kwisha.zilianza story za maisha,maisha maisha....SAA nane zikabadilika love story,oo mi niliumizwaga niliumizwaga,Tisa,zikaanza za baridi,oo barid barid iringa.

kutazamana kwa hisia kukaanza Mara blanketi moja Mara yeye ndo blanket.Ndo ikawa ivo.
Tunaendeleza mawasiliano ila tatizo lipo kwangu sasa,kutokana na mkono wake kufika mbali na kuweza kukuna ipasavyo,nimependa kweli.I love you zimekuwa nyingi from him but namwomba Mungu iwe kweli coz nikizama ndo nimekufa.mi 27 ye 29.

Nishaurini jamen napotea kumwekea malengo makuu au nikubali pata potea.

Akikuoa inabidi nimshangae yaani cku 1 tu kala mzigo
 
Ndiyo tulido
Na mapenzi ya kushtukiza ghafla bila kutarajia!
Jamaa atakuwa alikutomba peku na akakojolea humo humo!
Yaani wanawake wa cku hizi wepesi kuliwa!
Na usikute mmoja wenu ana ngoma kamuambukiza mwenzie
Pia usikute kila mmoja kati yenu ana mpenzi wake alikotoka!
Yaani maisha ya leo ukiwa na demu akakuaga anasafiri safari ndefu ujue huko safarini uwezekano wa kutafunwa ni mkubwa!
 
Back
Top Bottom