Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,965
Ni kweli mkuu ndugu yangu!Mlitumia condom? Maana Shinyanga ni kati ya mikoa inayoongoza kwa maambukizi mapya!
Mkoa huu unaongoza kwa maambukizi ya minyoo kutokana na kuwa na ng'ombe wengi!
Ni kweli mkuu ndugu yangu!Mlitumia condom? Maana Shinyanga ni kati ya mikoa inayoongoza kwa maambukizi mapya!
Au mwombe mleta mada awe anasafiri mara kwa mara ili nawe upate bahati ya kuonana naye nawe umtombe!Sijawai pata hilo zali....ngija niwe na safari za hapa na pale nione kama ntazipata hizo chanC
Kama hujaielewa hii story, either utakuwa under 18 au utakuwa hujui Kiswahili...Heee hii story m ata sijailewa
Subiri kwanza mkuu nitakua Shinyanga next week niache nikamsubiri stand nami nikamtafune!embu nishtue siku ya kurudi tena Shinyanga ili nkuvizie tusafiri pamoja nione kama na mm utanitunuku
Mguu wa mtoto sijaelewaMguu wa mtoto umemchanganya aisee sipati picha jamaa alivyo kandamiza iv ndo inavyotakiwa ukipewa nafasi piga kama mbwa mwizi sio bla bla nyingi ooh mi msomi sijui nn
ok.. basi mimi nitamsubiri safari itakayofuata alafu nikitoka mimi atafwata youngblood alafu baada ya hapo atafuata tena JambiloSubiri kwanza mkuu nitakua Shinyanga next week niache nikamsubiri stand nami nikamtafune!
Kama hujaelewa basi we bado ni mtoto na bila shaka una bamiaMguu wa mtoto sijaelewa
ahahahaa haya ngoja niwe mpole tuKama hujaielewa hii story, either utakuwa under 18 au utakuwa hujui Kiswahili...
Ndiyo,tulizikuta rumni
salaaam!
ni ivi,jumapili nilikuwa natoka safari toka shinyanga to Iringa,nikiwa stend kuu ya shinyanga,akatokea kijana fulan alijitambulisha kwa jina na nikaweza tambua kuwa ni mkaguru.
Baada ya utambulisho akanambia ana tiket mkonon to Iringa but ni mgen kwa iringa japo inayompeleka ni kaz.nikamwambia mi ni mwenyeji wako.Aisee,kiukweli pale nilimchukulia poa,so nikawabusy somehow japo yeye alijitahidi kuwamsaidiz wangu kwa kila nilichokuwa nafanya kwa time ile.
Basi safar ikaanza,story,story na wewe.Kutokana na umbali Wa safar na matatizo ya usafiri tulifika iringa saa 7 usiku,mi binafsi nilikuwa nimechoka na usingiz ukachangia nikawa nawaza kitanda tu.
Tukaanza saka vyumba vya kulala,hapa na pale kwa sababu ni stendi ya mabas,guest nyingi zikawa zimejaa,but Mungu Mkuu tukafanikiwa lodge moja lakin ilibakiwa na room moja self cont.Shida ikaanzia hapo,kwanza tukatazamana kwa muda fulan,muhudumu naye anatutazama bas mioyo ikaongea KALALENI.....jamaa akatikisa kichwa kuashiria kwamba ndo ivo tuingie,kwa kuogopa muhudumu kutushtukia kuwa hatufahamian tukatimba.
Mi kichwan nawaza,yaan ukisikia mtu kafia lodge ndo Leo.Nikatangulia kuoga kinguonguo,yeye zamu yake akavua nguo kaenda na taulo,nilikuwa namwangalia coz nilikuwa naogopa majanga.
karudi kulala akajifunika blanketi lake,story zikanoka mi hapo mkavuuu,yaan usingiz kwisha.zilianza story za maisha,maisha maisha....SAA nane zikabadilika love story,oo mi niliumizwaga niliumizwaga,Tisa,zikaanza za baridi,oo barid barid iringa.
kutazamana kwa hisia kukaanza Mara blanketi moja Mara yeye ndo blanket.Ndo ikawa ivo.
Tunaendeleza mawasiliano ila tatizo lipo kwangu sasa,kutokana na mkono wake kufika mbali na kuweza kukuna ipasavyo,nimependa kweli.I love you zimekuwa nyingi from him but namwomba Mungu iwe kweli coz nikizama ndo nimekufa.mi 27 ye 29.
Nishaurini jamen napotea kumwekea malengo makuu au nikubali pata potea.
kwahiyo alikugegeda?
nobody could have said it better......... it was a beautiful affair that lasted for one night and that all that it was.umekutana na stranger na kilichotakiwa kuwepo ni "One night Stand" tu maana kilichokufanya uingie kwenye huo uhusiano ni mihemko ya ngono na it was just an accident and you don't need to regret it coz it is always happens in real life and everybody do it
hamkujiandaa kuwa wapenzi ila hiyo situation ndio imewafanya so inatakiwa uwe mwangalifu sana usije ukikuta ni mume wa mtu
but sometimes sisi ndio tunaohamua maisha yetu so its better to choose coz love thing is very complicated, pia inaweza kuwa chachu ya nyinyi kuwa pamoja na waaminifu kwa kipindi kirefu kutokana na style yenu mliyokutana
nilihitaji uhakika mkuu,siunajua kumuwazia mwenzako vibaya ni dhambi?Mkuu kwenye hiyo stori kuna sentensi ambayo haihitaji uulize swali kama hilo.
Sentensi yenyewe ni hii ''kutazamana kwa hisia kukaanza Mara blanketi moja Mara yeye ndo blanket.Ndo ikawa ivo.''