Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Back to seriousness!
Kwanza hongera kua jasiri wa kusex siku ya kwanza tu ya kukutana, wewe ni jasiri sanaaa sio mchezo.
Pili hakuna mtu anayeweza kukulaumu kwa hilo na kukupa nafasi ya umalaya atakua mwehu tu. Wengi wetu sisi waafrika chaji ziko juu kidogo, jino moja tu kitu kimewaka.
Tatu fuata moyo wako,mpe muda Na distance uone kama ataendaje. Wwngine walikutana baa bwana
Mwisho, kwa mwanadamu moja baya hufuta yoote mazuri ila kwa Mungu moja zuri hufuta mabaya yoote. Katubuni hiyo dhambi msamehewe ndipo muendelee