Ni kama story ila ndo ukweli

Ni kama story ila ndo ukweli

Mkuu kwenye hiyo stori kuna sentensi ambayo haihitaji uulize swali kama hilo.
Sentensi yenyewe ni hii ''kutazamana kwa hisia kukaanza Mara blanketi moja Mara yeye ndo blanket.Ndo ikawa ivo.''
Halafu mwandishi inaonekana ni mjuzi wa lugha haswaaa!
 
Kajamaa kalijifanya kageni kumbe ana lengo lake. Mtu uende sehemu kikazi ujifanye hujui pa kufikia na unataka mtu wa kukuongoza!! Mbona hakuomba wanaume wenzake? Dada shine G huyo alijua kitatokea nini ndo mana akakuwah hata safar haijaanza. Usitumie hisia tumia akili cku hiz matapeli wengi utarud hum unalia umetapeliwa mapenzi.

kaukweli fulan
 
Back
Top Bottom