technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,887
Yaani nyanya ishuke lakini we don't care VAT tunaongeza kwa kila kitu
Kwenye nyekundu hapo imeharibu mtiririko mzima wa maelezo yako.Mkuu nchi haijasimama. Watu wanachapa kazi na maisha yanasonga. Maisha hayajawahi kuwa rahisi. Ni kweli changamoto ni nyingi lakini Kikubwa...wewe pambana kwenye nafasi yako uliyonayo. Usaidie familia yako na wategemezi wako (ikiwa ni pamoja na kulipa kodi stahiki za jamhuri). Hayo mengine waachie wenyewe.
Tanzania ya viwanda haitaletwa na serikali. Ukiona nyanya zinaozea shambani..hebu fikiria ni namna gani unaweza kutumia fursa ya kuzisindika. ni wewe na mimi kuona fursa zilizopo na kuzitumia. Ukisubiri kwamba serikali ifanye hili au lile..utasubiri bila majibu.
Mimi nadhani wananchi wengi hatujui wajibu wa serikali. We expect too much from it. Yet the truth is our expectations are in most cases misplaced!
Lets stop complaining! Do something. Hata akitoka Magufuli atakuja mwingine na yeye atakuja na wimbo wake. Mwisho wa siku ni wewe unayeumia na kukosa ufumbuzi wa matatizo yako na jamii inayokuzunguka.
tetea tumbo lako kistaarabu kila kitu bavicha ni kweli raia hatuna imani na serikari ya awamu ya tano tunachuki police awafanyi kazi yao wamekalia kutafuta sifa kwa mtukufu wao nchi inaendeshwa na camera na si kwa vitendo mpaka sasa mmetekeleza ahadi zenu mbele ya camera ni kweli nchi kwa sasa imesimama kimaendeleo hakuna jipya zaidi ya matamko yasio na muendelezoHalafu nyie BAVICHA mnamatatizo sana sahizi mmekuja na kamsemo eti Chuki kati ya Raia na Polisi kwanini mnawasingizia wananchi semeni chuki kati ya Polisi na BAVICHA maana nyie mnawachukia sana Polisi kwasbb zenu za kutumwa na Mbowe. Wananchi wako busy na kazi zao wanatafuta riziki zao za kihalali nyie ndo magwiji wakuwasemea uongo.
Hao raia ni wa nchi gani?...ni kweli raia hatuna imani na serikari ya awamu ya tano tunachuki...
muulize mtukufu boss wakoHao raia ni wa nchi gani?
Ha ha ha, jibu huna.muulize mtukufu boss wako
yah cnaHa ha ha, jibu huna.
Naona ule wimbo wa kuhamia dodoma umeshachuja. Na hata waliouimba wameshapoteana. Hii ni nchi ya vituko. Mwaka ndo unakatika hivyo .tetea tumbo lako kistaarabu kila kitu bavicha ni kweli raia hatuna imani na serikari ya awamu ya tano tunachuki police awafanyi kazi yao wamekalia kutafuta sifa kwa mtukufu wao nchi inaendeshwa na camera na si kwa vitendo mpaka sasa mmetekeleza ahadi zenu mbele ya camera ni kweli nchi kwa sasa imesimama kimaendeleo hakuna jipya zaidi ya matamko yasio na muendelezo
Kaa hapo hapo ukilalamika na kupayuka. Septemba mosi njoo basi tuungane kwenye ukuta.Naona ule wimbo wa kuhamia dodoma umeshachuja. Na hata waliouimba wameshapoteana. Hii ni nchi ya vituko. Mwaka ndo unakatika hivyo .
Raia wa wapi hawana imani na serikali? shame on you!! labda mafisadi na waliozoea miteremko ya wizi. Uku uraiani ni amani tena wananchi wanasifia ile mbaya wanasema hivi nanukuu " Sikuhiz hakuna tajiri wala masikini wote kulala sambili na wake zao". Sasa wewe sijui unawasemea wananchi wa wapi?tetea tumbo lako kistaarabu kila kitu bavicha ni kweli raia hatuna imani na serikari ya awamu ya tano tunachuki police awafanyi kazi yao wamekalia kutafuta sifa kwa mtukufu wao nchi inaendeshwa na camera na si kwa vitendo mpaka sasa mmetekeleza ahadi zenu mbele ya camera ni kweli nchi kwa sasa imesimama kimaendeleo hakuna jipya zaidi ya matamko yasio na muendelezo
Wanajifanya hawaoni wala hawasikii. Lakini lazima tuwakumbushe maisha Yao yote yanategemea mchango wa kodi zetu. So, lazima tuheshimiane.haiwezekani sisi tukuajiri halafu utugeuke uanze kututisha. Hutuambii, hutuonyewhi mwelekeo. Tumechoka!Kwenye nyekundu hapo imeharibu mtiririko mzima wa maelezo yako.
Ni kweli wananchi tusitegemee sana kitu cha kusaidiwa kutoka serikalini, lakini ni wajibu wa serikali kutoa huduma stahiki kwa wananchi wanaolipa kodi hasa katikakipindi kigumu cha kiuchumi.
Kama umechoka sasa ndio iweje?...Tumechoka!
It's true, Kwani wewe unaishi nchi gani? Jana morogoro tenga lilifika 1500 Tsh! Waziri mhusika kakaa kimya utafikiri amepigwa nusu kaputi! Hajui afanye nini. Akifanya chochote kuokoa lazima atumbuliwe! Hatari.Wakulima wa nyanya ni kilio kila kona ya nchi hii. Sasa hivi tenga moja la nyanya ambalo lina wastani wa kilo 30 bei yake ni Tsh elfu tatu (3000) hakuna juhudi zozote za kuwaokoa hawa wakulima. Waziri anayehusika na viwanda hawezi kufanya lolote la dharura ili kuwaokoa hawa wakulima kwa sababu anaogopa bila sababu. Sasa kama hatuwezi kuhifadhi hata mazao yetu tunayolima, je ni viwanda gani tunafikiri tunaweza kumiliki?
Is this a joke right? May be in Kenyan shillings.
Acha njaa mzee naimani ulichopanda sio unachokivuna kwa sasa pole najua unalilia ndani kwa ndani ila ndo ivyo tena yalishatokea unabudi kusimamia msimamo wako kwa vile mlimpenda wenyewe na nichaguo lenu wenyewe acha muisome namba na camera zenu na matamko yake ya kijinga hakuna hata moja lililo fanikiwa zaidi ya mbembweRaia wa wapi hawana imani na serikali? shame on you!! labda mafisadi na waliozoea miteremko ya wizi. Uku uraiani ni amani tena wananchi wanasifia ile mbaya wanasema hivi nanukuu " Sikuhiz hakuna tajiri wala masikini wote kulala sambili na wake zao". Sasa wewe sijui unawasemea wananchi wa wapi?
Raia wa wapi hawana imani na serikali? shame on you!! labda mafisadi na waliozoea miteremko ya wizi. Uku uraiani ni amani tena wananchi wanasifia ile mbaya wanasema hivi nanukuu " Sikuhiz hakuna tajiri wala masikini wote kulala sambili na wake zao". Sasa wewe sijui unawasemea wananchi wa wapi?
acha unafiki maisha ni mabovu serikali ya awamu ya tano inatekeleza ahadi zake kwenye camera mtukufu hana maono kuna sehemu anataka kuipeleka nchi hii ila ajui ni wapi ndo maana wamebaki kutamka mambo ya kusadikika na kuyaacha na kurukia maengineKaa hapo hapo ukilalamika na kupayuka. Septemba mosi njoo basi tuungane kwenye ukuta.