Ni kabila gani unaweza pata mwenza mwenye hofu ya mungu!!

Wapendwa nawasalimu..CFR
Kutokana na matukio ambaye yamekuwa yakijitokeza juu ya kusalitiana na wanawake kupenda kuwa na hulka ya kulipiza kisasi badala ya kuwa mwongoza nyumba..
Ni kabila gani ambayo waweza pata mwenza wa kike asiye mwepesi kugegedwa ovyo ovyo.....
Nyege na emotional, hazina kabila, Labda jaribu wahaya
 
Wapendwa nawasalimu..
Kutokana na matukio ambaye yamekuwa yakijitokeza juu ya kusalitiana na wanawake kupenda kuwa na hulka ya kulipiza kisasi badala ya kuwa mwongoza nyumba..
Ni kabila gani ambayo waweza pata mwenza wa kike asiye mwepesi kugegedwa ovyo ovyo.....

Kuwa na Hofu ya Mungu haina kabila wala rangi.
 
Hofu ya Mungu haina uhusiano na kabila. Bali mahusiano ya mwanamke husika na Mungu wake.
 
Aliyekudanganya kabila lina determine hofu ya Mungu mwambie Bob12 anakuita bashite
 
Mhaya,mjaluo,mjita,mkurya,mmasai,msukuma,mrangi,mkwere,mzaramo,mtanga,mpare,mzingua,mngoni,muha,mhehe,mnyamwezi,mnyanturu,mnyiramba,mchaga,mmeru,muarushmuarusha,mkerewe na kadhalika
 
Wapendwa nawasalimu..
Kutokana na matukio ambaye yamekuwa yakijitokeza juu ya kusalitiana na wanawake kupenda kuwa na hulka ya kulipiza kisasi badala ya kuwa mwongoza nyumba..
Ni kabila gani ambayo waweza pata mwenza wa kike asiye mwepesi kugegedwa ovyo ovyo.....
Hiyo ni very individual haina kabila inategemea sana malezi kutoka kwa familia mtu aliyokulia.
 
Back
Top Bottom