Ni kabila gani unaweza pata mwenza mwenye hofu ya mungu!!

Jaribu kabila la Wabongo lakini usilete za kuleta au itakula kwako.

sheeeee!!!! teh teh!! naona umereply halafu umedakwa na usingizi!

hahahaaa!!!

usiku mwema bwana mi niko lindoni!
 
Mwanamke mwenye hofu ya Mungu anajua hakika kuwa baba ndio kichwa. Sasa kama wewe ndio kichwa na unaongoza kwa kugegeda, unataka ulaumu kiwiliwili kwa kuelekea kule unakoongoza? Wanawake hawalipizi kisasi, wanajikimu tu. Manake kwa ufupi mwanaume akianza cheating hamridhishi mkewe. Mabao yenyewe ya kuvizia hayo!

Umemaliza Mkuu! Kiongozi alivyo ndivyo walivyo watu wake ha ha ha haaaaaa
 
Mimi ni mwanaume. Nimeoa for five years sasa. Cha msingi ujue kama hutaki kuibiwa na wewe usiibe. Be closer to your wife. Make her your friend. Most important Skills, yes love making skills. Kuna watu wamekaa na wake zao 5,8 10 years, mwanamke hajawahi kucome. Lazima uchapiwe nje.

Heko Mkuu!
 
kua mcha Mungu wewe kwanza
hapo utapata mcha Mungu mwenzio na wala haitajalisha kabila


af izi thread za 'kabila gani' baadae mtakuja kuuliza '' ni kabila gani utapata mwanamke mfupi/mrefu/mweusi/mweupe?''
 
Na ukishindwa woote nenda kwa wahindi! Lkn ujiandae kula pilipili mpaka kwenye chai ya asubuhi!
:D:D:D:D
 
Wapendwa nawasalimu..
Kutokana na matukio ambaye yamekuwa yakijitokeza juu ya kusalitiana na wanawake kupenda kuwa na hulka ya kulipiza kisasi badala ya kuwa mwongoza nyumba..
Ni kabila gani ambayo waweza pata mwenza wa kike asiye mwepesi kugegedwa ovyo ovyo.....

Hili swali linahitaji Calculator. Unaweza vp kuyapima maji kwa macho? Chukua kabila lako ili mkisalitiana mzungumze kilugha bila majirani kujua, itasaidia. Vinginevyo siku ya harusi mwambie mzazi akupe zawadi ya BASTOLA ili apate woga
 
kua mcha Mungu wewe kwanza
hapo utapata mcha Mungu mwenzio na wala haitajalisha kabila


af izi thread za 'kabila gani' baadae mtakuja kuuliza '' ni kabila gani utapata mwanamke mfupi/mrefu/mweusi/mweupe?''

Yees Yees Yees!!!! Sikuwahi jua kaa Mungu ana kabila, na hongera huyo mwenye hiyo hofu sijui anaiweka wapi masikini?!! Aangalie Siku hizi vibaka wengi wanaweza kumwibia halafu Mungu akadai hofu yake
 
hii ya imani na mungu haitegemei kabila inategemea ntu na ntu alivyolelewa...
 
Back
Top Bottom