chongoe
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,128
- 2,717
Habari zenu waungwana,
Kuna binti kaniomba msaada ila nashindwa kwa sababu ya umbali.
Tatizo lake ana umri wa miaka kumi na tano ila ameolewa kwa nguvu sababu wazazi wake wametangulia mbele za haki, namaanisha wamekufa wote -- baba na mama yake. Aliyekuwa anaishi naye ni shangazi yake ndiye ambaye ameozesha kwa nguvu.
Sasa ananiomba msaada ila yupo mbali amesema yupo Mkundi. Je, tunamsadiaje mume ana umri wa miaka 37 Mwanamke miaka 15 nachotaka mnipe ushauri ili tumsaidie kisheria au apate msaada.