Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,638
Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitimbwi, visa, dharau, vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao.
Maana kuna wengine watakwambia uishi nae kama rafiki, wengine wanakwambia uwapuuze yaani kila mtu ana story yake hebu leo tusaidiane ni jinsi gani ya kuishi nao bila kukwaruzana nao au bila wao kukupa stress