Ni jinsi gani unaweza kuishi na mwanamke bila kukwaruzana au bila kupata stress?

Hahahahha kijana, umenifurahisha sana na swali lako, but kifupi ni kua huwezi kuishi na mwanamke bila mikwaruzono hata kidogo, as long as nyie ni binadamu hicho kitu hakiwezi tokea labda mbadilike muwe malaika.

Na pia kumbuka kukosekana kwa mikwaruzano hata kidogo katika mahusiano ni dalili ya kutojaliana ( mahusiano yaliyo kufa).

Angalizo; dont try to be a perfectionist in relationship, otherwise you will die hard.
 
Ukitaka kuishi na mwanamke bila kukwaruzana epuka marumbano jitahidi sana kumpa ushindi wa mezani ikibidi hata kama 1+2=3 na Ndio jibu sahihi yeye akikwambia sita usifikilie mara mbili kubali mradi mpe ushindi! Ukiona una idea fulani na unajua kbs ukimpelekea atakataa ifanye ikamilishe muonyesha matokeo!! Sio kila Siri ya familia unamweleza mambo mengine anaweza kuja kuyatumia kukuumizia! Siku zote kumbuka MKEO si NDUGU yako! Kama mkeo ni wale wanawake wenye kelele usijibizane nae kaa kimya aongee hadi amalize, wanawake kusema ni sehemu ya kupunguza stress zao!
 
Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitimbwi, visa, dharau, vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao.

Maana kuna wengine watakwambia uishi nae kama rafiki, wengine wanakwambia uwapuuze yaani kila mtu ana story yake hebu leo tusaidiane ni jinsi Gani ya kuishi nao bila kukwaruzana nao au bila wao kukupa stress.

Ili usipate hizo stress labda uwe kiziwi bro
 
jibu rahisi tu: HAIWEZEKANI!
So kama unaogopa hayo we kuishi na mwanamke is not your thing,achana nako tu
 
Ila tumikwaruzano sometimes pia ni tuzuri mkuu acha tu, siyo mnakakaa mmepoaa kama kaka na dada bana kila kitu kinaenda smoooth aargh, Inabidi mkianza kubishana hadi mmoja atake kurusha ngumi hivi mwingine akwepe nk nk inakua poa

Hahhaaaaa bwana eeeh sisi tumezoea kuzozana kiasi tunaweza tukaanza tu mmoja akaanza kucheka na kesi inaishia hapo.
 
Hahhaaaaa bwana eeeh sisi tumezoea kuzozana kiasi tunaweza tukaanza tu mmoja akaanza kucheka na kesi inaishia hapo.
😀😀raha mnaishia kucheka na kesi inaishia hapo, sasa mambo ya mnakaa tu mmetulia hamna hata kaugomvi aah, couple inakua imepoaa hata majirani hawajui kama mpo bana🏃‍♀️
 
Sijui utaweza ?
Brother kuwa na hela ya kutatua changamoto zake then jifunze kumtia vizuri.

Uzoefu wa Karne zote unaonyesha hayo mambo huwa hayaendi pamoja. Ukiwa mjuzi wa kutia ....pesa lazima zikukwepe and vice versa is true.

Kazi kwako
 
Back
Top Bottom