Ni jinsi gani unaweza kuishi na mwanamke bila kukwaruzana au bila kupata stress?

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
293
1,000
Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitimbwi, visa, dharau, vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao.

Maana kuna wengine watakwambia uishi nae kama rafiki, wengine wanakwambia uwapuuze yaani kila mtu ana story yake hebu leo tusaidiane ni jinsi gani ya kuishi nao bila kukwaruzana nao au bila wao kukupa stress

1621329649612.png

 

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
31,607
2,000
1. Mpe hela
2. Mpe hela

3. Mpe hela

4. Mpe muda wako
5. Msikilize hata kama anaongea umbeya

6. Mthamini

7. Mheshimu

8. Msaidie kutimiza ndoto zake kama anavyokusaidia

9. Mpende

10. Kuwa mwanaume

11 jiamini

12 kuwa mlinzi

Mk

Nk

Nk

All in all

KYW (know your wife) inahusika
 

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,170
2,000
Women especially Tanzanians they all like wild,rough nice guys. Just be at your best behavior of yourself the rest mwachie mwenyewe.

TIp siku ikitokea mmekwaruzana unakiamsha kweli kweli halafu siku ingine anzisha wewe ugomvi bila hivo hamfiki bila kusahau good dicking pia
 

BAHARI J

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
625
1,000
Ila tumikwaruzano sometimes pia ni tuzuri mkuu acha tu, siyo mnakakaa mmepoaa kama kaka na dada bana kila kitu kinaenda smoooth aargh, Inabidi mkianza kubishana hadi mmoja atake kurusha ngumi hivi mwingine akwepe nk nk inakua poa
Mala Ana kupa mbata Una nuna alafu Ana kubembeleza Ana kununulia khanga mambo yanaisha saaaf kabisa
Nime kusamehe lakin usirudie Tena
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom