Ni ipi tofaut ya chachu na ngwadu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni ipi tofaut ya chachu na ngwadu?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Kipilipili, Jun 6, 2011.

 1. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,204
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Napata uvulivuli juu ya dhana hizi"chachu" na "ngwadu",tofauti yake ni ipi?na je ni sahihi kusema kuwa chachu ni ngwadu ila si kila ngwadu ni chachu?mfano,maziwa yanapochachuka huwa ngwadu lakini ndimu ni gwadu japo haijachachuka.
   
 2. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  gwadu au ngwadu?mbona sijaelewa

  ok mie nielewavyo-gwadu ni kitu kama radha ya ndimu ivi/passion fruit/chungwa vs chachu ni uchungu
   
 3. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,204
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Ngwadu ndivyo sahihi.na ngwadu haiwi chungu
   
 4. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Du hapo umeniacha...
   
 5. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  basi sijui kiswahili sasa!

  ngwandu=
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0


  ngwadu ni kitu kingne na GWADU NI KITU KINGNE

  bak 2topic

  chachu inatokana na uahlisia wa tunda/kitu mara eg lemon

  gwadu ni ukakasi unaotokana na kutokomaa kwa kitu au kuharibika kwa kitu

  mhh sjui ndo ivo..ngoja nkatafute samak na ndimu
  then mtind na sukari......!!!!!!!
  ok mie nielewavyo-gwadu ni kitu kama radha ya ndimu ivi/passion fruit/chungwa vs chachu ni uchungu
   
 7. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145

  hahahaaaaa halafu wewe?!!
  bora ata mimi nimeweza khaaa
   
 8. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,204
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Wadau hz dhana ni tete kweli.ni kweli kuna wakati ngwadu huwa na ukakasi fulani hv mithili ya tunda kama tufaha{apple} linapokuwa bichi.lakini sidhani km ni sahihi moja kwa moja kusema ngwadu ni ukakasi .mh!mambo ya lugha hayo.
   
 9. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,204
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Wadau hz dhana ni tete kweli.ni kweli kuna wakati ngwadu huwa na ukakasi fulani hv mithili ya tunda kama tufaha{apple} linapokuwa bichi.lakini sidhani km ni sahihi moja kwa moja kusema ngwadu ni ukakasi .mh!mambo ya lugha hayo.
   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  mwenye kamsi ya kiswahili jamani.
   
 11. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nadhani maneno hayo hayana tofauti, ni tofauti ya lahaja tu. Angalia mfano mwingine wa tofauti ktk lahaja; maneno haya yote yanamaanisha kitu kimoja: puto, futuza, pulizo.
   
Loading...