Ni ipi historia ya Wayahudi nchini Marekani ?

wewe ndiyo hujui kitu kabisaaa
tena UNYAMAZE
swal la kuwarejsha Jews hilo lipo na hata juzi juzi Uganda wapo waliorejeshwa lakini shida inakuja hapa.
Jews ambao wametoka Africa wamekuwa wakitoa malalamiko kuwa wananyanyaswa sanaaaa na white Jews hapo ndipo hoja YANGU ilipojikita
Kunyanyasana ni human nature.Hata wazungu wananyanyasana.Hata kama wananyanyaswa cha msingi ni kwamba wanatambulika kama Jews.Hata waarabu wapo wanaojiona bora zaidi.waamerica pia.waasia pia wapo wanaojiona bora.Kwa hiyo usiwaonee Jews bure.
 
Samahani kaka mkubwa,ila uwoga ni hulka ya mashoga yaani leo Magufuli akimvizia mke wangu nimuachie kwa sababu ananguvu ,big NO ! Haki ya wapalestina haipaswi kuhusiana na nguvu yao never ,alishasema Rais wa palestina wao watahakikisha hawana bidhaa moja tu amani na kweli pamoja na mafanikio yote waliyonayo bidhaa ya amani yao iko palestina wamewaachia maghorofa ,yaani watanzania wanaishi kwa raha kuliko waisrael maana hawamalizi mwezi bila kuua muisrael wala kumi ,mpaka watoke kwenye ardhi ya watu
Paleztina kill 10 Israel,Israel kill 200 palestina.God help palestina,give them intelligence to solve the crisis.
 
Ni upumbavu kujiona bora zaidi ya binadamu mwingine. Na hii ni mbegu ya kishetani; ndo alianzisha mbegu ya uongo, ubaguzi n.k.
Jiulize wale waliojiona bora wakati wa uhai wao; sasa hivi wako wapi? Hitler pamoja na kuwaua waisrael yuko wapi sasa? Taifa lake ni nini katika uso wa dunia?
China waliodharauliwa miaka ya sabini .. unawaonaje sasa!
Narudia .. ni upumbavu kumdharau bin-adamu mwenzio.
 
They r behind kulianzisha taifa hlo la marekan,..yaan ancestors waliokaa na kusema we need a land walikua ni wayahud..niishie hapo
 
wewe ndiyo hujui kitu kabisaaa
tena UNYAMAZE
swal la kuwarejsha Jews hilo lipo na hata juzi juzi Uganda wapo waliorejeshwa lakini shida inakuja hapa.
Jews ambao wametoka Africa wamekuwa wakitoa malalamiko kuwa wananyanyaswa sanaaaa na white Jews hapo ndipo hoja YANGU ilipojikita
Wajuzi badala ya kutuelimisha kama mtoa mada alivyotuwakilisha mnaanza kushushuana kama watoto wa kike.
 
n

ni asili ya uyahudi tangu kale kubaguana kwa vigezo vya mahala,rangi na tamaduni.refer samaritans and hebrews(wasamaria na waebrania)kuna waliozaliana wao kwa wao,hawa waljiona kuwa ni pure yaani wasafiiii(siyo WCB!!),na kuna waliokubali kuzaliana na mataifa mengine hivyo kuwa na hitilafu za kiutamaduni.
 
Historia ya Jews ndani ya america ilianza tangu kipindi cha ukoloni 1800s, walitokea mataifa mbalimbali na kuingia america hasa north amerika mfano Germany Jews baada ya kuingia marekani walidominate biashara ya maduka, wakaanzisha synagogues, mabenk makubwa ndani ya newyork.
Na miaka ya 1880-1914 Ashkenazi Jews ambao walikua wanaonekana kama jamii maskini miongoni mwa wayahudi chini ya uongozi wa Theodor Herz wakaanzisha zion movement wakitaka mamlaka kamili Katika ardhi yao ya Israel maana walichoshwa na maisha ya kutangatanga.
 
n

ni asili ya uyahudi tangu kale kubaguana kwa vigezo vya mahala,rangi na tamaduni.refer samaritans and hebrews(wasamaria na waebrania)kuna waliozaliana wao kwa wao,hawa waljiona kuwa ni pure yaani wasafiiii(siyo WCB!!),na kuna waliokubali kuzaliana na mataifa mengine hivyo kuwa na hitilafu za kiutamaduni.
upo sahihi lakini
kwa muktadha wapi ni original jews Kati ya black and white????
maana kumekuwa na mkanganyiko mwingi Sanaa hapo.kwa Kila rangi kusema wao ndo original jews
 
Wajuzi badala ya kutuelimisha kama mtoa mada alivyotuwakilisha mnaanza kushushuana kama watoto wa kike.
sasa mzee c uliza swali utajibiwa?
kama una swali N quote nitakujibu.
Hawa ma jews nimeishi nao sana.
naelewa baadhi ya tamaduni na historia yao but SIYO kwa 100%
 
Kunyanyasana ni human nature.Hata wazungu wananyanyasana.Hata kama wananyanyaswa cha msingi ni kwamba wanatambulika kama Jews.Hata waarabu wapo wanaojiona bora zaidi.waamerica pia.waasia pia wapo wanaojiona bora.Kwa hiyo usiwaonee Jews bure.
sasa Hawa jews wamefikia mbali ZAIDI na Kila rangi kujiona wao ndo original jews
majuzi juzi kulikuwa na mgogoro mkali coz wale jews wa Ethiopia walikuwa wanasema wao ndo original jews kuliko wale white
wakiwa na fact mbali mbali.
all in all dini ndizo zina wabeba Hawa jews
 
Alexander The Great alitawala maeneo ya Ulaya, Asia, Africa sehemu za Egypt, Morocco. Uajemi, India na Arabuni. Eneo alikotawala walihimiza Helenic Culture ambayo ni ya Wagiriki. Maeneo haya yalishirikiana kibiashara na kupelekea watu kuhama

Wayahudi walihamia Ujerumani na Urusi. Wayahudi wangi walikuwa wafanya biashara, wanasheria, ni. Biashara ya Bank walianzisha Wayahudi kwa kukopa mazao na kulipa kwa riba. Kitu kimojawapo kilichowauzi Wajerumani katika jamii ya Wayahudi ni kuhimiza tohara kwa watoto wa kiume. Chuki ilivyozidi Wayahudi walikimbilia Marekani. Kipindi hicho na Waairish wengi walikimbilia huko.

Wayahudi walitajirika haraka Marekani kwa biashara vya bank, riba uanasheria.
 
sasa Hawa jews wamefikia mbali ZAIDI na Kila rangi kujiona wao ndo original jews
majuzi juzi kulikuwa na mgogoro mkali coz wale jews wa Ethiopia walikuwa wanasema wao ndo original jews kuliko wale white
wakiwa na fact mbali mbali.
all in all dini ndizo zina wabeba Hawa jews
Ndo hivo.kila mtu anajiona kuwa bora kuliko mwingine.Hii mbaya sana.
 
Back
Top Bottom