- Thread starter
- #41
Poa chief nitakustua.Mkuu sijaona jibu hapa bado na mimi nasubiri. Ukipata jibu fikirishi nitag tafadhali.
Poa chief nitakustua.Mkuu sijaona jibu hapa bado na mimi nasubiri. Ukipata jibu fikirishi nitag tafadhali.
Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForumsLeo nataka kujua historia ya Wayahudi nchini Marekani,yaani waliingiaje na wakapaje nguvu ?
Mwanye kulijua hili anisaidie.