Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

DSTV

National geographic
National geographic wild
family discovery
All Sport channel
Maisha magic plus
BET channel
Mimi ni zote ila hapo kwenye Family Discovery nadhani ilitakiwa isomeke "Investigation Discovery" hasa kipindi chao cha fumanizi kile nakipendaga sana 😂😂😂
 
Mimi ni zote ila hapo kwenye Family Discovery nadhani ilitakiwa isomeke "Investigation Discovery" hasa kipindi chao cha fumanizi kile nakipendaga sana 😂😂😂
Hiyo haipo discovery family..D family inadeal na technical matters sio family matters. Kipindi ukisemacho chaitwa cheaters
 
Hiyo haipo discovery family..D family inadeal na technical matters sio family matters. Kipindi ukisemacho chaitwa cheaters
Yah hiko hiko 😂😂😂 huwa nikiangalia napata picha kumbe wazungu ni washenzi tu kama sisi huku. Nainjoy sana.
 
DStv Channel namba 223 SuperSport Premier League

Kabla ya mechi uchambuzi murua toka kwa Tim Sherwood, Michael Owen, Owen Hargreaves, Ian Wright n.k

Kwenye mechi ukisikia sauti ya Peter Drury , Jim Beglin au Jim Proudfoot akiwa na Lee Dixon kwakweli huwa sibanduki kuanzia mechi yakwanza saa 9:30 alasiri mpaka yamwisho saa 7 usiku
 
Habari wakuu!

Kuna zaidi ya channels 100 karibia katika kila King'amuzi

Kwangu mimi mtumiaji wa DStv japo tunakosa uhondo wa channel za nyumbani lakini moja kati ya channel zangu Bora ni Maisha Magic East & Maisha Magic Bongo. Ukiondoa na chanel za michezo, basi utanikuta kwenye channel za movies labda kwakuwa mimi napenda sana movies.

Hebu tushirikishane, ni channel gani unaikubali na kwanini?
Azam Tv - IDx, Discovery channel, aljazeera,
Niko addicted Sana na IDx na documentary za aljazeera.
 
DStv Channel namba 223 SuperSport Premier League

Kabla ya mechi uchambuzi murua toka kwa Tim Sherwood, Michael Owen, Owen Hargreaves, Ian Wright n.k

Kwenye mechi ukisikia sauti ya Peter Drury , Jim Beglin au Jim Proudfoot akiwa na Lee Dixon kwakweli huwa sibanduki kuanzia mechi yakwanza saa 9:30 alasiri mpaka yamwisho saa 7 usiku
Yap sema kile kifurushi bei inashinda man. Hakuna uchochoro mwingine
 
DSTV

National geographic
National geographic wild
Safari channel
family discovery
All Sport channel(203,220 zote za HD)
Maisha magic bongo (HD)
Maisha Magic za Nigeria zote
TBC
TV e
Wasafi
Mnet
MnetAction
 
Back
Top Bottom