Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

Hivi Mkuu hizi chanali za kisomali zina maajabu ili na mimi niziset?
Kawaida tu mkuu, baadhi yao zinaonyesha muvi na cartoons. Ila ingependeza na sisi televisions zetu (TZ Mux) zingehamia kwenye hii satellite kwani inapatikana kirahisi ukilinganisha na 46° east
 
Nipo naangalia FTA, NSS-12
Hornsat's sport 4
Mkuu unatumia box ipi, kindly assist. Nilikuwa natumia alpha box X6 Ila ilinizingua, then fundi wangu bahati mbaya sana amefariki. I have no one I know anayeweza kunipa assist coz kuset 8' dish kwa mafundi wa DStv na Azam TV mtakesha.
 
Natumia Smart android TV ambaye Ina dekoda ndani ( inbuilt decorder)
 
Waanze kuweka na "porn" sasa, kama hawatabadilika watatupoteza wateja wengine. Tumevumilia sana aisee.
 
Habari wakuu!

Kuna zaidi ya channels 100 karibia katika kila King'amuzi

Kwangu mimi mtumiaji wa DStv japo tunakosa uhondo wa channel za nyumbani lakini moja kati ya channel zangu Bora ni Maisha Magic East & Maisha Magic Bongo. Ukiondoa na chanel za michezo, basi utanikuta kwenye channel za movies labda kwakuwa mimi napenda sana movies.

Hebu tushirikishane, ni channel gani unaikubali na kwanini?
Super Sport 223
 
Back
Top Bottom