Pennsylvania
JF-Expert Member
- Sep 25, 2019
- 335
- 498
- Thread starter
- #21
Inamaana Udom inawalimu wachache kwenye tasnia ya sheria kuliko Tudarco?Mkuu tudarco ipo vizuri sana kwenye law walimu wa kutosha wanafundisha vizuri sio mchezo na wanahakikisha mwanafunzi unaelewa vizuri pia ni jirani na law school ambapo utakuwa unapata legal materials utakazo huko unakoshauliwa kama unaenda kusoma education sawa la sivyo ni kuburuzwa tu.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Na ukaribu wa Law school, unachangia materials, je materials za law school zinatumika na undergraduate?