Ni ipi bora kati ya LLB ya UDOM na ya TUDARCo?

Mkuu tudarco ipo vizuri sana kwenye law walimu wa kutosha wanafundisha vizuri sio mchezo na wanahakikisha mwanafunzi unaelewa vizuri pia ni jirani na law school ambapo utakuwa unapata legal materials utakazo huko unakoshauliwa kama unaenda kusoma education sawa la sivyo ni kuburuzwa tu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Inamaana Udom inawalimu wachache kwenye tasnia ya sheria kuliko Tudarco?

Na ukaribu wa Law school, unachangia materials, je materials za law school zinatumika na undergraduate?
 
Angalau UDOM , Kwanini?
LLb(leugum baccaures) Distinct from other courses, inakuwa ni Kama Traditional, tunaangalia ubora hata kwa Records na Research. LLb distinct from other courses ni Kama mti inastawii Old school huwa better than former one

Shule Bora ya sheria nchi hii ni UDOSol na Mzumbe kwa LLb
Shule Kama ya UDOM, na OUT zinaweza kuwa Bora kwa vile ni watoto wa UDOSol
Tumaini once ilipigwa marufuku kudahili fani hiyo ya wasomi
 
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu
 
Mkuu tudarco ipo vizuri sana kwenye law walimu wa kutosha wanafundisha vizuri sio mchezo na wanahakikisha mwanafunzi unaelewa vizuri pia ni jirani na law school ambapo utakuwa unapata legal materials utakazo huko unakoshauliwa kama unaenda kusoma education sawa la sivyo ni kuburuzwa tu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Law kozi nyepesi Sana sijapata kuona.
 
Nenda TUDARCO sababu ni:
1. Miaka ni mitatu unaweza uka save gharama na muda wa huo mwaka mmoja

2. Ipo jiji ilipo law school itakusaidia sana kipindi unaenda law school utakuwa mzoefu wa mji na law school ni muda mdogo sana almost 6months chuo kuzoea mazingira mgeni ni ishu

3. Ina foundation nzuri ya masomo ya law school sababu wengi wa wakufunzi Law school wamefundisha pale.

4. Ukiwa msongo sana utapata fursa yakupitia maktaba kubwa za sheria pia wenzako watakaokuwa Law school pale ni karibu sana na UD na Law School

CHANGAMOTO
1. Ada ipo juu
2. Hakuna hostel
 
LLb(leugum baccaures) Distinct from other courses, inakuwa ni Kama Traditional, tunaangalia ubora hata kwa Records na Research. LLb distinct from other courses ni Kama mti inastawii Old school huwa better than former one

Shule Bora ya sheria nchi hii ni UDOSol na Mzumbe kwa LLb
Shule Kama ya UDOM, na OUT zinaweza kuwa Bora kwa vile ni watoto wa UDOSol
Tumaini once ilipigwa marufuku kudahili fani hiyo ya wasomi

Shule bora ya sheria nchi hii ni moja tu Law School of Tanzania. Na ndio shule pekee ya sheria vingine vyote ni college na Institutes kama IJA
 
Unajua Kuna kitu inaitwa University of Dar es salaam school of law UDOSol?

Imeanzishwa kwa sheria ipi?, narudia shule ya sheria ni moja Tz na imeanzishwa na sheria ya bunge mwaka 2007.

Hizo nyingine ni college na Institute tu.

Mark my words mkuu.
 
Nenda tudarco sisemi kwasababu nasoma hapa la hasha! Kwasababau kinatambulika nchini mfano ofisi ya mwana sheria mkuu wa serikali wapo magwiji wa law walio soma tudarco pia Hata ukitaka scholarship kinajulikana sana na International Universities.
 
Back
Top Bottom