CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,869
- 16,014
Mi nikisikia UDOM huwa nahisi VILAZA VILAZA sijui hata kwann. Mtanisamehe tu lkn huwa nahisi kile chuo huzoa kila aina ya TAKATAKA. Mungu anisamehe hata nikiendesha USAILI watu kutoka UDOM huwa nawaweka mbadala tu ikiwa nimekosa mtu kutoka UDSM au MZUMBE au SUA. Mtanisamehe lkn