Ni ipi bora kati ya LLB ya UDOM na ya TUDARCo?

Ni ipi bora kati ya LLB ya UDOM na ya TUDARCo?

Wakuu habari zenu!

Sina nia ya kutambishiana wala kuleta majivuni, HAPANA!

Ningependa kufahamu kwa uzoefu wenu hususani mambo ya fani ya sheria.

Je, ikatokea umepata LLB kwenye Chuo cha UDOM na Tumaini(Dar), Ungeenda wapi? Na ni sababu gani ungeangalia kufanya maamuzi?

Natumai mtanipa ujuzi mzuri

Karibuni!
kote hamna kitu, wanafunzi wanaofanya vyema huku mahakamani ni wale wa RUCO-IRINGA, UDSM na OPEN UNIVERSITY.

TUMAINI wanasoma miaka 3 na wengi wanabebwa, ni heka yako tu pale una graduate.
UDOM ndio hakuna kitu kabisa, yaani ma-lecturer wanatoka vyuo vya hovyo na hawana uzoefu , pale ni copy and paste tu.

RUCO ni miaka 4 kama UDSM, HAWA wapo vizuri sana
 
Back
Top Bottom