Ni ipi bora kati ya LLB ya UDOM na ya TUDARCo?

Pennsylvania

JF-Expert Member
Sep 25, 2019
335
498
Wakuu habari zenu!

Sina nia ya kutambishiana wala kuleta majivuni, HAPANA!

Ningependa kufahamu kwa uzoefu wenu hususani mambo ya fani ya sheria.

Je, ikatokea umepata LLB kwenye Chuo cha UDOM na Tumaini(Dar), Ungeenda wapi? Na ni sababu gani ungeangalia kufanya maamuzi?

Natumai mtanipa ujuzi mzuri

Karibuni!
 
Nenda UDOM kuna waalimu wa kutosha, hostel uhakika kabisa, mazingira mazuri kujisomea. Tuition fee ipo chin, kwenye Rank ipo juu
 
nenda UDOM ila jiandae kwamba unaenda shule haswaa. pale watu wa law mnavaa suti darasan hyo n lazma. wanawake na wanaume hamtofautian kwa sababu ile kozi inawafanya wote mnafanana usoni!
Kumbe vazi la suti ni MUST?
 
Ahsante Mkuu Malyenge

Je, ni sababu gani niende UDOM na sio TUdarco?
Mkuu tudarco ipo vizuri sana kwenye law walimu wa kutosha wanafundisha vizuri sio mchezo na wanahakikisha mwanafunzi unaelewa vizuri pia ni jirani na law school ambapo utakuwa unapata legal materials utakazo huko unakoshauliwa kama unaenda kusoma education sawa la sivyo ni kuburuzwa tu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom