iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Wale masikini na wanyonge tuliokuwa tunatumiana visenti kwa mitandao ya simu,huu ni ushauri wa bure.
Kutuma pesa kwa mfano laki mbili, utakatwa kwa ujumla karibu 5000. Sasa kama nauli ya daladala na mwendokasi ni 500 mpaka 1000, binafsi naona bora niwatume vijana wangu tu wapeleke kama ishu yenyewe au mtu ninayempa yuko ndani ya mkoa kama Dar, Mwanza mjini, Arusha...
Maeneo yenye usafiri wa chapchap, nabakiza na chenji ya 3000/ ya kufanyia mambo mengine.