Ni hesabu tu.. Kuliko kutuma laki mbili kwa simu ndani ya Dar, mtume mwanao apeleke

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,438
14,916
Wale masikini na wanyonge tuliokuwa tunatumiana visenti kwa mitandao ya simu,huu ni ushauri wa bure.

Kutuma pesa kwa mfano laki mbili, utakatwa kwa ujumla karibu 5000. Sasa kama nauli ya daladala na mwendokasi ni 500 mpaka 1000, binafsi naona bora niwatume vijana wangu tu wapeleke kama ishu yenyewe au mtu ninayempa yuko ndani ya mkoa kama Dar, Mwanza mjini, Arusha...

Maeneo yenye usafiri wa chapchap, nabakiza na chenji ya 3000/ ya kufanyia mambo mengine.
 
Wale masikini na wanyonge tuliokuwa tunatumiana visenti kwa mitandao ya simu,huu ni ushauri wa bure,

Kutuma pesa kwa mfano laki mbili,utakatwa kwa ujumla,karibu 5000, sasa kama nauli ya daladala na mwendokasi ni 500 mpaka 1000,binafsi. Naona bora niwatume vijana wangu tu wapeleke kama ishu yenyewe au mtu ninayempa yuko ndani ya mkoa kama dar,mwanza mjini,arusha....maeneo yenye usafiri wa chapchap,nabakiza na chenji ya 3000/ ya kufanyia mambo mengine

Odell's Muzuri sana. Ila UAMINIFU lazima upewe Garantee kwa Wale tunao watuma.
 
Kwa kuwa Serikali imeöngeza garama za maisha bila kuongeza kipato.hapa serikali ndio tatizo,CCM watoke
 
Hicho ulichoeleza una uhakika nacho? Jana nimetuma 260,000 sijaona hiki ulichoeleza
 
Wale masikini na wanyonge tuliokuwa tunatumiana visenti kwa mitandao ya simu,huu ni ushauri wa bure,

Kutuma pesa kwa mfano laki mbili,utakatwa kwa ujumla,karibu 5000, sasa kama nauli ya daladala na mwendokasi ni 500 mpaka 1000,binafsi. Naona bora niwatume vijana wangu tu wapeleke kama ishu yenyewe au mtu ninayempa yuko ndani ya mkoa kama dar,mwanza mjini,arusha....maeneo yenye usafiri wa chapchap,nabakiza na chenji ya 3000/ ya kufanyia mambo mengine
Labda ufanye utafiti kwanza kabla ya kupost. Juzi nimetuma 505,000/- tigo-tigo ada 1,850. Leo nimetuma 850,000 tigo-voda ada 2,250. Kutuma gharama zake ni hizo sasa sijui hio 5000/- kutuma 200,000/- umeitoa wapi. Ninachoweza kukueleza kingine, kutoa pesa cash kwa wakala ziko juu kulikom kutuma.

Sasa kwa 1,850 ni afadhali nitume kwa njia hii kuliko kumpa mtu apande nayo daladala, labda hukuangalia risk ya kupanda daladala na kiasi kikubwa cha fedha.
 
Yani hizi huduma kipindi zinaanzishwa tuliona tumekomboka...lakn sasa imekua hasara juu ya hasara..jaman hata kuuliza salio tu tigo wanakata.Bora tu kwa usawa huu kama mtu akai mbali umpelekee tu.
 
Labda ufanye utafiti kwanza kabla ya kupost. Juzi nimetuma 505,000/- tigo-tigo ada 1,850. Leo nimetuma 850,000 tigo-voda ada 2,250. Kutuma gharama zake ni hizo sasa sijui hio 5000/- kutuma 200,000/- umeitoa wapi. Ninachoweza kukueleza kingine, kutoa pesa cash kwa wakala ziko juu kulikom kutuma.

Sasa kwa 1,850 ni afadhali nitume kwa njia hii kuliko kumpa mtu apande nayo daladala, labda hukuangalia risk ya kupanda daladala na kiasi kikubwa cha fedha.
Mpaka utafuniwe kila kitu?Hebu piga gharama na za kutolea halafu jumlisha!
 
Labda ufanye utafiti kwanza kabla ya kupost. Juzi nimetuma 505,000/- tigo-tigo ada 1,850. Leo nimetuma 850,000 tigo-voda ada 2,250. Kutuma gharama zake ni hizo sasa sijui hio 5000/- kutuma 200,000/- umeitoa wapi. Ninachoweza kukueleza kingine, kutoa pesa cash kwa wakala ziko juu kulikom kutuma.

Sasa kwa 1,850 ni afadhali nitume kwa njia hii kuliko kumpa mtu apande nayo daladala, labda hukuangalia risk ya kupanda daladala na kiasi kikubwa cha fedha.
Mkuu unatuingiza chaka laivu
 
Wale masikini na wanyonge tuliokuwa tunatumiana visenti kwa mitandao ya simu,huu ni ushauri wa bure,

Kutuma pesa kwa mfano laki mbili,utakatwa kwa ujumla,karibu 5000, sasa kama nauli ya daladala na mwendokasi ni 500 mpaka 1000,binafsi. Naona bora niwatume vijana wangu tu wapeleke kama ishu yenyewe au mtu ninayempa yuko ndani ya mkoa kama dar,mwanza mjini,arusha....maeneo yenye usafiri wa chapchap,nabakiza na chenji ya 3000/ ya kufanyia mambo mengine
Mi niliachaga kabisa kuibiwa kibwege naunga mkono hoja
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom