Ni heri matendo mabaya ya mzungu kuliko ujinga wa mtu mweusi

Nimekuuliza ustaarabu gani aliotuletea MZUNGU? jibu HOJA. Wacha KUTOA povu..
Acha kuwatuhumu kabla Mzungu hajaja watu walikuepo wanavaa nguo. Kuvaa Nusu uchi tunaenda kule tulikotoka kama zamani kabla Mzungu hajatutawala.
 
Unatuhumu wazungu unasahau mwafrika anamsambaza mwafrika mwenzake utumbo kwa Bomu la machozi na hakuna kinachofanyika kiufupi naona umeandika mavi
 
Mfano Tundu lissu yupo kwa Mabeberu anawadekea na kuichafua Nchi yetu
Nikikuita tahira ntakuwa nimekupandisha cheo kikubwa itoshe kusema ubongo wako umechanganyikana na tope la mavi, sasa waliomtandika marisasi hamsini lissu ni wazungu? Sasa ataanzaje kujipendekeza kwa waliotaka kumuua?
 
Mwenzenu ameuawa na mapolisi huko kwa Mabeberu mnakowaabudu

Kamanda lissu anajikomba kwa watu wanaoua African, aibu
Huyaoni maaskari ya tz yanayoua waafrika wenzao kwa risasi za moto na hayafanywi chochote? Haya waliomnyeshea mvua za risasi lissu ni wazungu? Mnaona ya wazungu tu ila yenu nyani nyinyi mnaona sawa tu?
 
Nimekuuliza ustaarabu gani aliotuletea MZUNGU? jibu HOJA. Wacha KUTOA povu..
Ustaarabu aliotuletea mzungu ni mwingi kuacha kuabudu kwenye magofu na kuacha uchawi, kuacha kunya vichani na kutumia vyoo. Mzungu katuletea ustaarabu mwingi Sana ambao. Dunia hapa ilipofika ni Kwa jitihada za mzungu Kwa asilimia
 
Kusoma, kuandika, kuhesabu. Kuthamini utu wa mtu, kumwabudu Mungu wa kweli, ni baadhi tu ya mambo tuliyoyapata kutoka kwa binadamu wa kwanza kustaarabika duniani (mzungu)
Ustaarabu gani aliotuletea MZUNGU? au KUCHAMBIA TOILET PAPERS?, na Dada zetu kuvaa Nusu uchi?
<
 
Samahani mtoa mada nilitaka kukuchukia kwa kichwa cha habari tu lakini nilipozama uzini nimeshiba.Na baadhi ya comments humu zinadhihirisha maudhui ya uzi.

Hakika viongozi wazalendo afrika wana mzigo mzito sana
 
Ustaarabu aliotuletea mzungu ni mwingi kuacha kuabudu kwenye magofu na kuacha uchawi, kuacha kunya vichani na kutumia vyoo. Mzungu katuletea ustaarabu mwingi Sana ambao. Dunia hapa ilipofika ni Kwa jitihada za mzungu Kwa asilimia
Ndy ueleze basi....mbona huelezi KUCHAMBIA MAGAZETI,,,au sio ustaarabu?mbona huelezi kuleta USHOGA?
 
Ndy ueleze basi....mbona huelezi KUCHAMBIA MAGAZETI,,,au sio ustaarabu?mbona huelezi kuleta USHOGA?
Wewe Una chuki binafsi na wazungu. Umebase kwenye mabaya Yao bila kuangalia mazuri Yao . Acha hizo
 
Watu weusi tunabaguliwa na kuteswa kila sehemu, kuanzia Arabia Hadi China Hadi Ulaya
Hata hapa nyumbani bado hali ni hiyo hiyo. Zile maiti zilizokutwa huko Kamwe beach,kwenye mito na huko Rufiji hawakuuliwa na wazungu,wameuawa hapa hapa nyumbani na waswahili wenzao tena wale wenye dhamana ya kulinda uhai wao.

Wa Afrika sijui tumelogwa na nani??
 
Wewe Una chuki binafsi na wazungu. Umebase kwenye mabaya Yao bila kuangalia mazuri Yao . Acha hizo
CHUKI kivipi?Mimi nimetaka kujuwa zaidi ya ushoga na KUCHAMBIA magazeti,,,ni ustaarabu upi MZUNGU aliouleta? Lazima uelewe kwamba ustaarabu na elimu ni vitu viwili tofauti..sasa nijibu HOJA,,,ni ustaarabu gani ulioletwa na MZUNGU? zaidi ya huo?au kuvaa SUTI?na SKUNA ndy ustaarabu?
 
Hara hapa Tanzania, Mchina snap uwezo wa kukupiga na polisi wamuache huru.

Mchina ni rafiki yetu wa damu. Anatujengea chuo kikubwa sana cha CCM pale Kibaha. Mwendapole. Tungekipata wapi chuo kikubwa namna ile kama si wachina. Kile chuo kitaharakisha maendeleo ya nchi hii. Kile ni muhimu kuliko hospitali ya Tumbi na Kibaha sekondary combined and rolled into one.
 
Huyu alipigwa risasi hapa hapa nyumbani,na viongozi wa serikali yake hawakufanya chochote cha kuokoa na uhai wake.
Urongo. TL alijipiga risasi mwenyewe akitaka ahurumiwe na wazungu ili ahamie ulaya. Kama ingekua majambazi ndio waliompiga sasa hivi yangekua yanachezea mvua pale Isanga maximum security gaol.
 
Wazungu ni wetu walituletea ustaarabu.

Walituletea Biblia (Neno la Mungu) tukamjua Mungu wa kweli na wa pekee, Mungu wa Israeli, YEHOVA YWHW.

Ikiwa pamoja na kutufanyia hayo yote hadi leo waafrika wanaabudu mapangoni, ingekuweje kama wasingekuja huku gizani.

"dark continent"

Ujue we una matatizo sana…...pole sana
 
Back
Top Bottom